cpb
Senior Member
- Nov 1, 2014
- 156
- 87
Habari wana jamvi
Mimi nimechaguliwa kusoma chuo course ya bachelor of science in education UDOM ila baada ya kufika chuo malengo yangu yalikua kusoma NURSING nmeulizia utaratibu wa kubadili nmepewa masharti magumu sana.
Kwamba kuna mawili naweza badili alafu nikasitishiwa mkopo na mimi hapa nmepata asilimia mia moja je kuna ukweli wowote juu ya hili
Naomba mnishauri kwa wale mlowahi kutana na changamoto kama hii je ni kweli ukibadili course mkopo unasumbua.