Nabadili course kutoka bachelor of science education to bachelor of nursing

cpb

Senior Member
Nov 1, 2014
156
87
Habari wana jamvi

Mimi nimechaguliwa kusoma chuo course ya bachelor of science in education UDOM ila baada ya kufika chuo malengo yangu yalikua kusoma NURSING nmeulizia utaratibu wa kubadili nmepewa masharti magumu sana.

Kwamba kuna mawili naweza badili alafu nikasitishiwa mkopo na mimi hapa nmepata asilimia mia moja je kuna ukweli wowote juu ya hili

Naomba mnishauri kwa wale mlowahi kutana na changamoto kama hii je ni kweli ukibadili course mkopo unasumbua.
 
mimi nmeambiwa inawezekana na nimeshaanza mchakato hujui lolote wewe kaa kmya
 
WE BINTI, KUWA MPOLE. THE BEST WAY NI KWENDA MWENYEWE BODI YA MIKOPO UKAPATA FIRST HAND INFORMATION...... humu hutapata ukweli wa Mungu maana kuna mautani mengi humu!
 
haaa kweli aisee hapa udom office zao zikowapi ndugu nashukuru kwa ushauri
 
Habari wana jamvi

Mim nmechaguliwa kusoma chuo course ya bachelor of science in education UDOM ila baada ya kufika chuo malengo yangu yalikua kusoma NURSING nmeulizia utaratibu wa kubadili nmepewa masharti magumu sana

kwamba kuna mawili naweza badili alafu nikasitishiwa mkopo na mimi hapa nmepata asilimia mia moja je kuna ukweli wowote juu ya hili

naomba mnishauri kwa wale mlowahi kutana na changamoto kama hii je ni kweli ukibadili course mkopo unasumbua

Sasa mdogo wangu mbona unataka tena kupotea na kuharibu kila kitu? Mbona hiyo hiyo Kozi ya Bachelor of Science in Education na ambayo umepata mkopo wake wa 100% siyo Kozi mbaya na tena kwa hali ilivyo sasa katika nchi nyingi za bara la Afrika ni Kozi ambayo itakuja kuwa marketable sana na yenye ajira nyingi tu.

Nikuombe tu mdogo wangu fanya hiyo hiyo kisha ukishaimaliza hiyo na ukaja kubahatika ukapata Ajira / Kazi yako nzuri unaweza sasa huko baadae ukaja kusomea hiyo Nursing yako ambapo tena utakuwa na faida kubwa na itakuongezea ' Value ' yako katika field utakayokuwepo.

Usipoteze tafadhali hiyo bahati ya 100% ya mkopo na fuata ushauri mzuri wa ' Kitaaluma ' niliokupa kwani ukiukosea tu na ukababaika kuna siku utakuja kunikumbuka Kaka yako GENTAMYCINE kama nilikushauri kitu kizuri humu Jamvini. Nikutakie tu masomo mema huko UDOM mdogo wangu ila shika sana Elimu na mambo ya kidunia achana nayo kwa Kipindi hiki cha Masomo yako na asije kukudanganya Mwanaume yoyote yule bali kazana na Masomo yako vizuri, Mwenyezi Mungu akusimamie, akupe akili nyingi za Kiufahamu, Ufaulu vyema kabisa na hatimaye uje kuwa na faida kwa Taifa letu hili zuri kabisa la Tanzania.

Nimehisi kwamba Wewe lazima tu utakuwa ni Mtoto wa Kike ila kama utakuwa ni Mtoto wa Kiume basi naomba radhi sana hasa hapo nilipoandika au kuonya kwamba ukae mbali na Wanaume.
 
Mkuu unavyo mwambia wanaume akae nao mbali ina maana utamwoa wewe
 
Gentamycine. Haaahaaaa umetoaaa wosiaa mzito kwa hazina ya baadae...
 
lakini naipenda hyo nursing iko kwenye moyo wangu
 
Salute Sana kwa wosia huu mzito...nadhan Dogo Somo amelielewa!!!!
 
hivi nyie nani kawambia nikibadili na mkopo na sipati mkopo upo japo wameniambia naweza sumbuliwa
 
Back
Top Bottom