Vipi boss wako anayejua enzini yako?? Hauendi kusoma tena..?[emoji41] [emoji41] [emoji41]wafuasi wa manabii huwa mnajiona sana ndo shida yenu .heri yako wewe malaika ambae huna dhambi .mimi nishaharibu sana namshukuru Mungu kanipa second chance so?
sasa tuone mimi na wewe nani ataanza kuwa na ndoa .na ukicheza ndoa utasikia tu kwa wenzako .Vipi boss wako anayejua enzini yako?? Hauendi kusoma tena..?[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Kosa lingine ulisha tangaza mchagga kosa la kiufundi muulize misschagga alikosa ndoa kwangu sababu ya mama yake...[emoji23] [emoji23] [emoji120]
kuhusu kusoma unajua niko wapi hapa?Vipi boss wako anayejua enzini yako?? Hauendi kusoma tena..?[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Kosa lingine ulisha tangaza mchagga kosa la kiufundi muulize misschagga alikosa ndoa kwangu sababu ya mama yake...[emoji23] [emoji23] [emoji120]
Mnuka vumbi ...by.. NYANINGABU.[emoji41] [emoji41] [emoji41]kuhusu kusoma unajua niko wapi hapa?
mwanaume ukiwa na wivu wa maendeleo utakufa siku si zako mkuu?Mnuka vumbi ...by.. NYANINGABU.[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Wivu gani tena[emoji23] [emoji23]mwanaume ukiwa na wivu wa maendeleo utakufa siku si zako mkuu?
pole sana
ila ndo hvo Mungu anatoa bila hata kumpa chochote anatoa hata kwa unaoona hawastahili so what?
funga siku arobaini umzuie asinibariki am so hapy yaani ungejua ni zali gani limenifumkia sijui ungeandika nini yaani
thank you ubarikiwe saanaAiseeh all the best sisteri[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
We una nyota gani?Una nyota ya chips za mihogo a.k.a chips dume
Bado mshana hajaniambia maana hii ndo sekta yake ...We una nyota gani?
Sasa kwa nini umtuhumu mwenzio yeye ni nyota hyo kama yako huijui?Bado mshana hajaniambia maana hii ndo sekta yake ...
Nimeoteshwa mpendwa...Sasa kwa nini umtuhumu mwenzio yeye ni nyota hyo kama yako huijui?
ushamuacha madame siyo unatafuta mwingine hahahahaaaaaSawa Miss Natafuta Nitakutafuta Mwezi wa Kumi hata mimi natafuta mchumba
Amechoka kukaa kwao..Miss natafuta kama mwanaume mwenye kuwajua viumbe nyie unasumbuliwa na saikolojia ya kuhudhuria harusi nyingi za wenzio huko wewe yako haitimiii
Sasa upo katika hatua unayopokea maswali wewe lini