Naanza Kuwa Mbea Kuanzia Leo

Naanza Kuwa Mbea Kuanzia Leo

Ukiwa mumbea naona maisha yako yanakuwa mafupi utakuja uongee mambo ya kijinga ukatwe midomo au utumbuliwe macho
 
Ukiwa mumbea naona maisha yako yanakuwa mafupi utakuja uongee mambo ya kijinga ukatwe midomo au utumbuliwe macho
wafuasi wa umbea ni wengi kuliko maadui
 
Hahahaaaa.... Mkuu hebu tuungane, nataka niishi hata miaka mia(100).
 
Back
Top Bottom