Naanza Kuwa Mbea Kuanzia Leo

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
12042630_1722509667995738_3623581968761172181_n.jpg
 
UKIKAMATA MWIZI USIMPIGE MPE MZARAMO ATAMSEMA MPAKA AFE BILA KUPIGWA
 
Wale waandishi wa magazeti ya udaku wataishi miaka mingi....!!!
 
Tunatoa kozi za UMBEA kuanzia ngazi ya cheti, stashahada, shahada na PhD.
Tunawaalimu wenye uzoefu na waliobobea kwenye hii tasnia.

Wote mnakaribishwa.
 
Back
Top Bottom