Magufuli atakuwaje waziri mkuu wakati sio mbunge...?
Nne, hata ukawa wakishinda sio rahisi ccm wakakubali kirahisi zaidi itabidi waingie kwenye maridhiano.
Urais atashinda Lowassa, ila kwa upande wa wabunge nafkiri chama tawala watakuwa na wabunge wengi kiasi.....
Urais atashinda Lowassa, ila kwa upande wa wabunge nafkiri chama tawala watakuwa na wabunge wengi kiasi.....
Kwa hali ya nchi yetu sas ili tuendelee tunahitaji serikali ya aina hyoo..anapokosea ccm ukawa wanamuadabisha...wanapokosea ukawa ccm wanamuadabisha...hakuna imani na raisi bunge linamhukumu kwa haki..sio upande m1 uwe ndio zisizo na maendeleo kwa wananchi
Ni kweli ila ndicho knachohitajika kwa sas coz tumeona hilo Kenya na nazani umeona Kenya wapo wapi mpaka sas..angalia zanzibar,uozo unaofanyika uku bara tofaut kabsa na zenji..Kuendesha serikali ya mseto si jambo rahisi, ukizingatia wanaounda hiyo serikali watoka kwenye vyama tofauti, vyenye itikadi tofauti, sera tofauti na ilani tofauti. Kama sasa hivi Chadema ikishinda ina mpango wa kuanzisha serikali za majimbo (mgawanyo wa majimbo tayari ulishafanyika). Je ikitokea kuwa na serikali ya mseto muundo wa serikali utakuwaje?