. Well saidKutokana na vuguvugu la siasa nchini naanza kuona dalili za serikali ya mseto na itakuwa either rais magufuli waziri mkuu mbowe au rais lowassa waziri mkuu magufuli.
Hii naamini inaweza ikawa serikali inayoweza kuwatumikia wananchi kuliko serikali zote zilizopita.
Naomba mungu tusifike hapo kwa vurugu bali kuwepo na mashauliano.
Sababu kubwa ni ccm nguvu yake kubwa imepunguwa kwa wananchi na ukawa nguvu yao imeongezeka kwa wananchi.
Pili, kutokana na ujio wa lowassa ukawa sera za ukawa zitabadilika kutoka sera za ufisadi na watakuja na sera za maendeleo kwa wananchi ambazo zitawajenga kisiasa.
Tatu, magufuli ndio nguzo pekee ambayo ccm wamebaki nayo na anapendwa na wananchi na hata ukawa hawatapenda wasimpoteze bali watakuwa tayari kushirikiana nae.
Nne, hata ukawa wakishinda sio rahisi ccm wakakubali kirahisi zaidi itabidi waingie kwenye maridhiano.
Serikali ya mseto kwa katiba IPI?
Nne, hata ukawa wakishinda sio rahisi ccm wakakubali kirahisi zaidi itabidi waingie kwenye maridhiano.
Unashindwa halafu hukubali kushindwa!!
Nne, hata ukawa wakishinda sio rahisi ccm wakakubali kirahisi zaidi itabidi waingie kwenye maridhiano.
Unashindwa halafu hukubali kushindwa!!
Kama wangekuwa wameligundua hili mapema, nao wangejiunga na UKAWA.
Serikali ya mseto kwa katiba IPI?
Kutokana na vuguvugu la siasa nchini naanza kuona dalili za serikali ya mseto na itakuwa either rais magufuli waziri mkuu mbowe au rais lowassa waziri mkuu magufuli.
Hii naamini inaweza ikawa serikali inayoweza kuwatumikia wananchi kuliko serikali zote zilizopita.
Naomba mungu tusifike hapo kwa vurugu bali kuwepo na mashauliano.
Sababu kubwa ni ccm nguvu yake kubwa imepunguwa kwa wananchi na ukawa nguvu yao imeongezeka kwa wananchi.
Pili, kutokana na ujio wa lowassa ukawa sera zao zitabadilika kutoka sera za ufisadi na watakuja na sera za maendeleo kwa wananchi ambazo zitawajenga kisiasa.
Tatu, magufuli ndio nguzo pekee ambayo ccm wamebaki nayo na anapendwa na wananchi na hata ukawa hawatapenda wampoteze bali watakuwa tayari kushirikiana nae.