Naanza kunusa kitu cha Moto ACT Wazalendo

Una matatizo wewe. Hujui kama Anna ndo Mwenyekiti na Zitto ni Kiongozi wa chama
 
Mwalimu kaijage, ni kama nanusa kitu huko ACT, naona movement za Kumng'oa Zitto kwenye uenyekiti na kumsimika ANNA.. Naona waziwazi na kama unijuavyo nikinusa sikosei .

Ngojea uone after uchaguzi..

Huku ndo kunusi na kuwaambia watu ni parachichi kisa umesikia harufu hiyo!Huyu mama ni mwenyekiti, ungenusa kuwa atakuwa kiongozi mkuu kama zzk sawa maana ndio katiba inavyotaka!
 
Yote tisa, ZZK atapotea kisiasa na ACT haiwezi kuwa chama kikuu cha upinzani kitadidimia tu!
 
Anna is super,waendelee tu.Zitto ni bendera,you cannot rely on him.
Mwalimu kaijage, ni kama nanusa kitu huko ACT, naona movement za Kumng'oa Zitto kwenye uenyekiti na kumsimika ANNA.. Naona waziwazi na kama unijuavyo nikinusa sikosei .

Ngojea uone after uchaguzi..
 
Mwalimu kaijage, ni kama nanusa kitu huko ACT, naona movement za Kumng'oa Zitto kwenye uenyekiti na kumsimika ANNA.. Naona waziwazi na kama unijuavyo nikinusa sikosei .

Ngojea uone after uchaguzi..

Lakini mbona Mama Annah ndiye mwenyekiti na Zitto ni Kiongozi Mkuu wa chama? Huyo mama anataka kupewa uenyekiti utu tena?
 
Raisi ni LOWASSA. Hii sio kunusa tena ni Confirmed . HATA kama UVCCM watapewa usukani wa kuongoza TUME, hakuna wanacho weza kufanya kwa sasa.WATU WAKIAMUA MWENYEZI MUNGU NDIYE KAAMUA. nani wa kushindana na MOLA??.. Ukijaribu kushindana na MOLA utakufa tu..MOLA HACHEZEWI..

ukawa mna roho ngumu kama ya paka! si mola, si allah, si mungu wa Israel ambaye yupo upande wenu! nyinyi mna Luccifer na kingunge .... MAGUFULI raisi anayesubiri kuapishwa!
 
Anaenda ikulu hapakii watu kwenye malori bali ananyota ya kifalme na si mwingine ni Edward Ngoyai lowasa akisindikizwa na kura nyingi za umma
 
Unataka ACT kuwe na wenyeviti wangapi? Zito ni kiongozi mkuu wa chama, ndo anafuata mwenyekiti.

Yeye ndo icon ya chama. Cheo chake hakina ukomo wala hakipigwi kura. Yeye ndiye Alfa na Omega ktk hicho chama.

Halfu yako umenusa vibaya,
Si walisema ukigomea na kushindwa unaachia cheo? Wote wawili watapimwa kwa kwenye uchaguzi kwa mujibu wa taratibu zao.
 
Mwalimu kaijage, ni kama nanusa kitu huko ACT, naona movement za Kumng'oa Zitto kwenye uenyekiti na kumsimika ANNA.. Naona waziwazi na kama unijuavyo nikinusa sikosei .

Ngojea uone after uchaguzi..

Dua la kuku halimpati mwewe
 
Unataka ACT kuwe na wenyeviti wangapi? Zito ni kiongozi mkuu wa chama, ndo anafuata mwenyekiti.

Yeye ndo icon ya chama. Cheo chake hakina ukomo wala hakipigwi kura. Yeye ndiye Alfa na Omega ktk hicho chama.

Halfu yako umenusa vibaya,

Taratibu basi mkuu
 
Hapo ndipo mnapo kosea, Zitto sio kiongozi MKUU wa chama.

bali ni Kiongozi wa chama cha (ACT) or PARTY LEADER.
 
Hata sisi wanaACT tunamtaka ANNA awe kiongozi mkuu. Zitto alikinunua chama kwa pesa zake haramu alizopewa kuwaficha waliochukua pesa za escrow kupitia Stanbic.
 
ukawa mna roho ngumu kama ya paka! si mola, si allah, si mungu wa Israel ambaye yupo upande wenu! nyinyi mna Luccifer na kingunge .... MAGUFULI raisi anayesubiri kuapishwa!

Hakuna atakaeapisha rais mkurupukaji. Mambo gani sasa kuruka juu ya gari?

Huyu akiendekeza huo ulimbukeni na mipushapu ya kubong'oa, kuna kila dalili uchaguzi ukaahirishwa (Mungu epushia mbali)!!
 
Mwalimu kaijage, ni kama nanusa kitu huko ACT, naona movement za Kumng'oa Zitto kwenye uenyekiti na kumsimika ANNA.. Naona waziwazi na kama unijuavyo nikinusa sikosei .

Ngojea uone after uchaguzi..

Na mimi nimenusanusa nimegundua ni MABADILIKOOOOOO..... .... .. .
 
Back
Top Bottom