Naanza kunusa kitu cha Moto ACT Wazalendo

Naanza kunusa kitu cha Moto ACT Wazalendo

ata ivo mama anna ni mkt zitto n kiongozi mkuu wa chama so haujanusa kitu labda unuse tena
 
Mwalimu kaijage, ni kama nanusa kitu huko ACT, naona movement za Kumng'oa Zitto kwenye uenyekiti na kumsimika ANNA.. Naona waziwazi na kama unijuavyo nikinusa sikosei .

Ngojea uone after uchaguzi..
Hivi unajuwa maana ya Ayattoullah kawaulize Wairan hata Rais hana nguvu.
 
Mwalimu kaijage, ni kama nanusa kitu huko ACT, naona movement za Kumng'oa Zitto kwenye uenyekiti na kumsimika ANNA.. Naona waziwazi na kama unijuavyo nikinusa sikosei .

Ngojea uone after uchaguzi..
Zitto sio mwenyekiti wa ACT
 
Naona harufu yako katabiri baada ya lowasa kukosa urais kipi kitatokea ndani ya cdm
 
...hicho chama sipendi kusikia habari zake toka niambiwe kuna mtu mmoja tu ndio mwenye uwezo wa kufikiria!!
Wengine wote viazi wanafuata hapo nyuma...!
msipende kudhihaki watu...act inawatu wanafikiri vema.jitizame kwanza wewe unaubora gani ndugu yangu.
 
Act zito zito act wewe uoni mabango mengi Wa wabunge yanapicha ya zito wakati ilitakiwa yawe na picha ya mama kama ujui maana ya kiongozi mkuu au ujui kwanini walimwita ayatollaah tafuta maana ya ayatollaaah
 
Kinachofanyika sasa ni kuondoa cheo cha kiongozi mkuu wa chama katika katiba ya chama na kuhamisha majukumu ya kiongozi mkuu kwenda kwa Mwenyekiti wa taifa Mama Anna.

Hii imekuja baada ya wajumbe wengi kuona Mama Anna ana uwezo mkubwa kuliko Ayatollahh Zitto ambaye amekosa dira na mwelekeo wa Chama.Mama Anna kupitia kampeni zake kakutana na wajumbe wengi,wagombea wengi ambao wameapa hawataki kusikia habari ya Zitto.

Ayatollaahh alimzuia Estomiah Mallah nafasi ya mweyekiti kwakuwa aliogopa ingekuwa vigumu kumwondoa muda utafika ambao ni baada ya uchaguzi mkuu alifikiri Mama Anna ni mwepesi kumwondoa kumbe hesabu zake zilikuwa ndogo sana.
 
Last edited by a moderator:
umenusa nini sasa ? ama kweli hapa umedhihirisha kuwa hizo sio pua bali ni za kichina tu
 
Raisi ni LOWASSA. Hii sio kunusa tena ni Confirmed . HATA kama UVCCM watapewa usukani wa kuongoza TUME, hakuna wanacho weza kufanya kwa sasa.WATU WAKIAMUA MWENYEZI MUNGU NDIYE KAAMUA. nani wa kushindana na MOLA??.. Ukijaribu kushindana na MOLA utakufa tu..MOLA HACHEZEWI..

Acha bangi zako, utawala wowote duniani unasimikwa na huyo Mola.Sasa wewe umejuaje mawazo ya Mola.Usishangae hata huyo jamaa yako akaangukia pua.Tunajua Mawazo mengi ya Jamii forum yamekaa kichadema chadema na ndio maana hata zile mada zinazoelekea kuiponda Chadema huondolewa haraka.Hivyo hata ukipima upepo kwa kutumia jamii forum hutapata majibu.Tunatakiwa tumuombe Mungu atupe kiongozi mchapakazi na muadilifu.Ukimuomba Mungu akupe mchumba mzuri halafu ukaanza kujichagulia mwenyewe kama unavyofanya lazima upate GALASA.
 
Raisi ni LOWASSA. Hii sio kunusa tena ni Confirmed . HATA kama UVCCM watapewa usukani wa kuongoza TUME, hakuna wanacho weza kufanya kwa sasa.WATU WAKIAMUA MWENYEZI MUNGU NDIYE KAAMUA. nani wa kushindana na MOLA??.. Ukijaribu kushindana na MOLA utakufa tu..MOLA HACHEZEWI..
Usimnasabishe Mungu na huo uchafu!
 
Raisi ni LOWASSA. Hii sio kunusa tena ni Confirmed . HATA kama UVCCM watapewa usukani wa kuongoza TUME, hakuna wanacho weza kufanya kwa sasa.WATU WAKIAMUA MWENYEZI MUNGU NDIYE KAAMUA. nani wa kushindana na MOLA??.. Ukijaribu kushindana na MOLA utakufa tu..MOLA HACHEZEWI..

Ni kweli kabisa rais ni Lowasa na hata vijijini wazee wetu wanajua.
Vijijini wanajua usipomchagua Lowasa maisha yatakua yale yale na dhiki zile zile na vijana watashindwa kuwahudumia.
 
Back
Top Bottom