Nawasalim wakuu,
Nimekuwa nikiwaza sana tangu lianze wimbi la "magufuli baki" nikijiuliza binadamu tukoje hasa? nikapitia clips za anthropologist kadhaa nikajifunza kitu. Kuna baadhi ya wanadamu wapo weak mbele ya wenzao kama vile jogoo anavyopapatikiwa na mitetea wapo binadamu ambao humpapatikia mwenzao.
Yaani kama vile wasichana wanavyopapatikia wanaume wenye miiliflan. Ni natural kwa watu dhaifu kujikomba kwa mtu strong. Usishangae wengine wanaume huishia kuliwa na wanaume wenzao just kwakua ni weak.. Mfano ukiwa tajiri lazima kuna ambao watajikomba kwako yaani ukipatwa na msiba au sherehe utashangaa watu wanagombania kujiweka uwaone wakidhani ipo siku utawapa fadhila ni human nature.
Msishangae wapo watu walienda utumwani just kwa udhaifu wao. Ndio hivyohivyo wapo ambao ni dhaifu wanajipeleka kwa mkuu awatumie milele mpaka atakapotaka yeye ndipo waongozwe na mwingine. Msiwalaumu ni ishara ya udhaifu unaingia wakiwa wadogo. just imagine mtu anawaza fulani baki bila kuwaza kwamba binadamu hubadilika. Sio wote wanaoonekana wabaya leo walianza wakiwa wabaya including Hitler hakuanza kwa ubaya.
So nawaomba wenzangu msiwabague hawa weak people just waombeeni tu, am sure hata mtaani wapo watu dhaifu ambao unawaburuza kila siku...hata ukiwaambia waje walale kwako watakuja.
Pole zenu sana...but tutaendelea kuwaombea kwani hamjitambui ni human nature