Naanza kuamini wapo watumwa walijipeleka utumwani....

mandokwa

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
620
1,000
Nawasalim wakuu,

Nimekuwa nikiwaza sana tangu lianze wimbi la "magufuli baki" nikijiuliza binadamu tukoje hasa? nikapitia clips za anthropologist kadhaa nikajifunza kitu. Kuna baadhi ya wanadamu wapo weak mbele ya wenzao kama vile jogoo anavyopapatikiwa na mitetea wapo binadamu ambao humpapatikia mwenzao.

Yaani kama vile wasichana wanavyopapatikia wanaume wenye miiliflan. Ni natural kwa watu dhaifu kujikomba kwa mtu strong. Usishangae wengine wanaume huishia kuliwa na wanaume wenzao just kwakua ni weak.. Mfano ukiwa tajiri lazima kuna ambao watajikomba kwako yaani ukipatwa na msiba au sherehe utashangaa watu wanagombania kujiweka uwaone wakidhani ipo siku utawapa fadhila ni human nature.

Msishangae wapo watu walienda utumwani just kwa udhaifu wao. Ndio hivyohivyo wapo ambao ni dhaifu wanajipeleka kwa mkuu awatumie milele mpaka atakapotaka yeye ndipo waongozwe na mwingine. Msiwalaumu ni ishara ya udhaifu unaingia wakiwa wadogo. just imagine mtu anawaza fulani baki bila kuwaza kwamba binadamu hubadilika. Sio wote wanaoonekana wabaya leo walianza wakiwa wabaya including Hitler hakuanza kwa ubaya.

So nawaomba wenzangu msiwabague hawa weak people just waombeeni tu, am sure hata mtaani wapo watu dhaifu ambao unawaburuza kila siku...hata ukiwaambia waje walale kwako watakuja.

Pole zenu sana...but tutaendelea kuwaombea kwani hamjitambui ni human nature
 

mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
9,442
2,000
Nawasalim wakuu,
Nimekuwa nikiwaza sana tangu lianze wimbi la "magufuli baki" nikijiuliza binadamu tukoje hasa? nikapitia clips za anthropologist kadhaa nikajifunza kitu. Kuna baadhi ya wanadamu wapo weak mbele ya wenzao kama vile jogoo anavyopapatikiwa na mitetea wapo binadamu ambao humpapatikia mwenzao...
Yaani kama vile wasichana wanavyopapatikia wanaume wenye miiliflan. Ni natural kwa watu dhaifu kujikomba kwa mtu strong....usishangae wengine wanaume huishia kuliwa na wanaume wenzao just kwakua ni weak.. Mfano ukiwa tajiri lazima kuna ambao watajikomba kwako yaani ukipatwa na msiba au sherehe utashangaa watu wanagombania kujiweka uwaone wakidhani ipo siku utawapa fadhila.... ni human nature....
Msishangae wapo watu walienda utumwani just kwa udhaifu wao. Ndio hivyohivyo wapo ambao ni dhaifu wanajipeleka kwa mkuu awatumie milele mpaka atakapotaka yeye ndipo waongozwe na mwingine. Msiwalaumu ni ishara ya udhaifu unaingia wakiwa wadogo. just imagine mtu anawaza fulani baki bila kuwaza kwamba binadamu hubadilika. Sio wote wanaoonekana wabaya leo walianza wakiwa wabaya including Hitler hakuanza kwa ubaya.... So nawaomba wenzangu msiwabague hawa weak people just waombeeni tu, am sure hata mtaani wapo watu dhaifu ambao unawaburuza kila siku...hata ukiwaambia waje walale kwako watakuja...

Pole zenu sana...but tutaendelea kuwaombea kwani hamjitambui ni human nature
maccm wengi ndivyo walivyo
 

mikeimani

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
3,035
2,000
Kumbe kuna magufuli baki. Ni sawa. Hatuwezi wote kuwa marais wa nchi hii. Kama kwa miaka 15 au zaidi tulikuwa na marais wanaobabaikia wazungu na waarabu halafu akatokea aliye kinyume unategemea nini kutoka kwetu ?

Tutataka magufuli abaki tuondoe uwezekano wa kuja mwizi, laiser afair mzembe mzebe, fisadi na nk. Kumbuka, katika nchi maskini ni Rahis kwa fisadi na kibaraka kuliko mtu safi na mwenye uwezo
 

mandokwa

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
620
1,000
Kumbe kuna magufuli baki. Ni sawa. Hatuwezi wote kuwa marais wa nchi hii. Kama kwa miaka 15 au zaidi tulikuwa na marais wanaobabaikia wazungu na waarabu halafu akatokea aliye kinyume unategemea nini kutoka kwetu ?

Tutataka magufuli abaki tuondoe uwezekano wa kuja mwizi, laiser afair mzembe mzebe, fisadi na nk. Kumbuka, katika nchi maskini ni Rahis kwa fisadi na kibaraka kuliko mtu safi na mwenye uwezo
====
Anzeni kwa kumuombea huyu
 

mshunami

JF-Expert Member
Feb 27, 2013
4,250
2,000
Siku hizi Computer za tume ya Uchaguzi zinataga vifaranga. Hayo yalisemwa na Raila Odinga jana. Kwa kuwa kuna ukweli katika msemo huo, Magufuli atatawala kipindi kingine na hakuna namna ya kuiondoa CCM madarakani. Kila uchaguzi, Komputa zitataga vifaranga vya kijani na njano!!!
 

Magimbi

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
1,420
2,000
Nadhani hizi kampeni za abaki Fulani na Fulani alikuwa dhaifu zina chembechembe za UDUNI. Yule mwenyekiti wetu aliyepita hakupata Bahati kuambiwa baki baba..eti dhaifu blablaaa..huyu anatufaa anatika Kaanani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom