Mkuu kwa kukusaidia andika profile yako ya kazi zipi ushafanya.., au kama hujafanya kazi kwanza tunga story / andika script na utengeneze kazi kabisa mpaka mwisho, baada ya hapo watu wakishajua ulitengeneza kazi fulani kali watakuwa wanakufuata wenyewe...
Kupata wasanii sio kazi unaweza kutengeneza movie kwa low budget, na kama utatumia local people hakuna haja hata ya kuwalipa kuna watu wapo tayari kutokea tu kwenye movie hata bila malipo