Naandaa maandamano, naomba mniunge mkono

Naandaa maandamano, naomba mniunge mkono

Uuuwiiii,
Wanaacha kuchunga kondoo wa bwana
wanaingia siasani.

Mpe pole zake akiwa huko huko aliko.
 
Nawakumbusha tii sheria bila shuruti maandamano nimepiga marufuku sababu tunaupungufu wa askari.

BACK TANGANYIKA
 
Hivi ndivyo maandamano yalivyokuwa... Najua Mods watatuonea huruma... Hizo bajaza ni kwa udhamini wa Bepari la Kihaya Bishanga...

Kwa sasa Yuko London ila msimamizi wake Erickb52 alipewa maelekezo akatupatia...

Asanteni wale wote nlipunga mkono maandamano......

FREE BABA PAROKO.......

FREE BABA Eiyer.......

DSC02582.JPG

Thank you Madam

Am back again

Ubarikiwe sana!
 
Nawashukuruni nyote ambao mmeonesja kuguswa na BAN niliyopewa na nashukuru sasa niko Free

Asanteni sana kwa kuonesha kuwa pamoja nami

Napenda kuwaambieni kuwa nitaweka misa maalum kwaajili yenu ...lol!

Asanteni na mbarikiwe nyote .....!!!!!!
 
Kuna huyu mtumishi anaitwa Karucee....
 
Last edited by a moderator:
Nawashukuruni nyote ambao mmeonesja kuguswa na BAN niliyopewa na nashukuru sasa niko Free

Asanteni sana kwa kuonesha kuwa pamoja nami

Napenda kuwaambieni kuwa nitaweka misa maalum kwaajili yenu ...lol!

Asanteni na mbarikiwe nyote .....!!!!!!

Karibu sana baba paroko Eiyer!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom