Naandaa maandamano, naomba mniunge mkono

Naandaa maandamano, naomba mniunge mkono

Chozi lako tu limenitia huruma nitakuwa kwenye kitengo cha kuandika mabango.

crying_woman+2.jpeg
 
He!!! Jamani hata mtumishi pia anawekwa nguvuni?? Loh!! Naunga mkono hoja ya kuandamana
 
Hivi ndivyo maandamano yalivyokuwa... Najua Mods watatuonea huruma... Hizo bajaza ni kwa udhamini wa Bepari la Kihaya Bishanga...

Kwa sasa Yuko London ila msimamizi wake Erickb52 alipewa maelekezo akatupatia...

Asanteni wale wote nlipunga mkono maandamano......

FREE BABA PAROKO.......

FREE BABA Eiyer.......

DSC02582.JPG
 
Last edited by a moderator:
Free baba paroko,
Free baba paroko,
Free baba paroko.
Free Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Hivi ndivyo maandamano yalivyokuwa... Najua Mods watatuonea huruma... Hizo bajaza ni kwa udhamini wa Bepari la Kihaya Bishanga...

Kwa sasa Yuko London ila msimamizi wake Erickb52 alipewa maelekezo akatupatia...

Asanteni wale wote nlipunga mkono maandamano......

FREE BABA PAROKO.......

FREE BABA Eiyer.......

DSC02582.JPG

namwona sungura1980 mstari wa mbele...
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa bamdogo Kaizer umeniona eheee!Baba paroko Eiyer tunamuombea uhuru

Hopefully ataachiwa soon maana kazi parokiani zibabizidia pia ....ku a kina mwallu wanahitaji maombi maalum... Heaven on Earth na Husninyo nao nursery school inawakeep busy.... Asprin na kwaya yake naye anahitaji ushauri nk....charminglady mwalimu wa sunday school anahitaji huduma pia..apo sijawataja makatekista..
 
Kaizer ban ya 3 months bila maandamano haachiwi leo wala kesho

hivi nikitaka kujiunga na kwaya ya Asprin nafanyaje vileeeeee
 
Last edited by a moderator:
ahahahah paroko Kaizer..nahitaji maombi ya utakaso tu saivi....
Hopefully ataachiwa soon
maana kazi parokiani zibabizidia pia ....ku a kina
mwallu wanahitaji maombi maalum...
Heaven on Earth na
Husninyo nao nursery school inawakeep busy....
Asprin na kwaya yake naye anahitaji ushauri
nk....charminglady mwalimu wa sunday school anahitaji huduma pia..apo
sijawataja makatekista..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom