Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
Fujo gani tena?
Hahahaa acha kabisa....kuna Lady doctor pia kama ulivoona....na miss neddy...ila Husninyo na mwallu wako poa sana.
Last edited by a moderator:
Fujo gani tena?
Hahahaa acha kabisa....kuna
Lady doctor pia kama ulivoona....na
miss neddy...ila
Husninyo na mwallu
wako poa sana.
Hahahaa acha kabisa....kuna Lady doctor pia kama ulivoona....na miss neddy...ila Husninyo na mwallu wako poa sana.
Hiyo "wako poa sana" sijaielewa!
Ivo ivo inatosha....huwezi elewa kila kitu paroko
Aaaahhhh!!!
Paroko hebu ninong'oneze bana!!!!
Wakati wangu haujawadia bado...
She is my Wife
I love her much!
Hiyo "wako poa sana" sijaielewa!
mhhhhhh ohooooops
nina offer maalum kwa ajili yako
Ofa ya?
Nini tena?
Hahahaa acha kabisa....kuna Lady doctor pia kama ulivoona....na miss neddy...ila Husninyo na mwallu wako poa sana.
Baba Paroko Eiyer kama utamfatafata mke wangu Lady doctor unapata BAN ya mwaka.
Umesikia? Sasa uko free, kwa huruma za kina charminglady, Kaizer et al.!
kichwa kinaumaaaaa
maumivu yakizidi muone dakitaree!
hahaha kwa dokta foleni siiwezi nitaenda parokiani tu
kwenye maombi sio!
Wakati wangu haujawadia bado...