Naamini nitampata atakayenifaa

Naamini nitampata atakayenifaa

And who are you to say so!! Wewe kama uliolewa mapema basi tulia muache mwenzio atafute, si lazima kila mtu aolewe mapema, everything hapens at right time, hayo mambo ya kulazimisha ndio maana hao unaosema wanalea wajukuu utakuta wako veryyy bored,lonenly and desparate ilihali wako kwenye hizo ndoa, so acha kukatisha watu tamaa na kukariri maisha.

Kama kawaida yako, teh teh teh!!! huyo me
 
tatizo wakati mnatongozwa kipind upo na miaka jati 20-25 maringo mengi mwanachuo mara unataka bwna aliyesoma,mwenye hela na kusahau kuwa wanaume ni hawahawa unaowazarau leo unakuja kuwaomba wakuoe

shangaa na wewe mkuu..vikiwa bado vibichi vinaringa..vikishafikia maturity stage ndo vinaanza kusumbua hadi vingine vinaenda kuombewa kwa akina gwajima vipate wachumba.
 
Hivi dear umesoma vizuri Thread au? Alikuwa anaye aliyedhania atakuja kuwa nae baadae ila ikatokea sivyo. Na inatokeaga hii kwa wengi tunaoezeka siko . So now she is here kupata yule anayemfaa . What's wrong with it? Thanks.

Asante kwa kunielewa
 
We wa 18 na yeye wa 32tukiwaweka pamoja we ukute ndo utaitwa bibi mfyuuuu! Watu sana 35 lakini ukiwaona kama wako kwenye early 20s. Heri yake kasema ukweli kuliko wengine mabingwa Wa kudanganya umri wao

uko sahihi
 
Itakua imetumika sana, jamaa kajipigia hadi akachoka ndio anatuletea hapa, walikua wanamtongoza analeta nyodo sasa anawatafta mwenyewe kwa tochi.

Na wanaume tulivyo wasanii atakaempata sasa atamtumia na kumuacha tena. Sio kila mwanamke ameumbwa kuolewa,wengine ni special kwa kuburudisha.

Cc lara 1 . Sa ivi ana nyodo sana ngoja aanze kugonga 27, atapata adabu tu.
 
Last edited by a moderator:
punguza matusi we mwenyewe umechoka tena umekata tamaa.

Wanawake muda mwingine hamjielewi,wakati mnapata wanaume wa kweli wa kuwaoa wenye nia ya kweli na nyie huwa mnaleta nyodo sana na kubinua vi flat screen vyenu badae wakiwaacha ndio mnashituka kuja kutafta wanaume humu kwa tochi wakati mliwaletea maringo.

Baada ya kuona umri umewaacha injini zenu zimechoka ndip mnakuja humu kutafta watoto wa wanawake wenzenu mkawabemende na kuwapa vitu makapi vimeisha ladha.

miaka 32 unakujua kutafta mwanaume humu, miaka 16 yote umetumia kupigwa mashine na watu wengine,utamu umeisha ndio unataka kumpa mtu unaetaka uishi nae miaka michache iliyobqki,tumeshtuka
 
Hivi kama hauna vigezo ambavyo mleta mada anavitaka si upite mbali? Kuna wenzio wanaowatafuta wa umri huo, kwahiyo ulitaka watu waolewe na machaguo yasiyo yao? Hakuna umri ambao uliwekewa limit kuwa ndio mwisho wa kuoa ama kuolewa, hivyo stress zako za kukataliwa usizimalizie kwa mleta mada.
 
Mungu akupe kulingana na itaji lako,naamn ntakukumbuka sala zangu za kila siku,usivunjike moyo,nataman nkuone nkupe ushaur zaid
 
Mungu akupe kulingana na itaji lako,naamn ntakukumbuka sala zangu za kila siku,usivunjike moyo,nataman nkuone nkupe ushaur zaid

asante sn, unaweza kunipm namba yako tukawasiliana
 
Lisa humu kidogo unahataji umakini sana na moyo wa uvumilivu kwani kuna watu wa kila aina wapo watakaokudhihaki, kukukejeli, kukuvunja moyo na hata wengine kukuona kama mtu uliyeshindikana katika jamii. Lakini pia wapo watakao kufariji, kukushauri, kukutia moyo pia hizo no baadhi changamoto ambazo unaweza kutana nazo humu cha msingi ni kuwa mvumilivu na mwenye subra na kuwajibu kwa busara kila mmoja kulingana na coment zao ila pia unahitaji sana kumuomba na MUNGU akusaidie sana kukuongoza katika sehem sahihi kulingana na mapenzi yake kwani humu ni sawa na mtu aliyepo katikati ya kondoo na mbwa mwitu walovishwa ngozi za kondoo naaamini kabisa kama vile kwenye jamii zetu tunazoishi wapo wema na wabaya hivyo hivyo na humu pia. Umakini wako utakufanikishia kumpata mtu sahihi mwenye vigezo unavyovihitaji.
 
Spend kuweka no yangu mitandaon bt npm no yako ntakutafuta mwnyw nkirud mjn
 
Pia unaweza kufunga huku ukisali kwa ajili ya hitaji lako,naamini Mungu atakusaidia,usivunjke moyo daima dada yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom