- Thread starter
- #41
Kuleta mjukuuau vitukuu hiyohaikuhusu. Kila jambo lina wakati wake nahuu ndio wakati wake. Yupo aliyekuwa anamtafuta wa hivyo. Kaa kimya tu
asante!
Kuleta mjukuuau vitukuu hiyohaikuhusu. Kila jambo lina wakati wake nahuu ndio wakati wake. Yupo aliyekuwa anamtafuta wa hivyo. Kaa kimya tu
All the best girl
Miaka 32 si umeshazeeka wewe,wenzio wa umri huo wanalea wajukuu,wewe ndo kwanza unatafuta bwana?pole yako
Una uzoefu gani katika sekta hii .....????
And who are you to say so!! Wewe kama uliolewa mapema basi tulia muache mwenzio atafute, si lazima kila mtu aolewe mapema, everything hapens at right time, hayo mambo ya kulazimisha ndio maana hao unaosema wanalea wajukuu utakuta wako veryyy bored,lonenly and desparate ilihali wako kwenye hizo ndoa, so acha kukatisha watu tamaa na kukariri maisha.
Number +225682610626
Hivi nyie watu huwa mnatafuta kweli au huwa mnachezea akili za watu tu?
Kila la kheri mpendwa na mwenyezi MUNGU akubariki uweze kupata hitaji lako kwa muda ulioupanga.
Miaka yote hiyo unachezewa tu akili, miaka karibia 10.
Khaaa kubali tu kuwa hutaolewa maana hapo ukizaa mtoto utambakiza yatima mapema
tatizo wakati mnatongozwa kipind upo na miaka jati 20-25 maringo mengi mwanachuo mara unataka bwna aliyesoma,mwenye hela na kusahau kuwa wanaume ni hawahawa unaowazarau leo unakuja kuwaomba wakuoe
Miaka 32 si umeshazeeka wewe,wenzio wa umri huo wanalea wajukuu,wewe ndo kwanza unatafuta bwana?pole yako