Big up Makonda! wakiwa na wajane jamii ya akina ''BILGERT'' wa UKAWA wameishiwa pumzi na wanaweweseka.... endelea kuwakita.... you are doing great job brother!Ww kazana tu mitandaoni kuwasifia wanaume wenzako,wakat huna hata mia nyumbu ww
Teh,vp Trump utashnda lkn hapo USA,maana wana republican hawakukubal kabisaBig up Makonda! wakiwa na wajane jamii ya akina ''BILGERT'' wa UKAWA wameishiwa pumzi na wanaweweseka.... endelea kuwakita.... you are doing great job brother!
Itakua ni mikopo ndio maana meya wa ukawa anamwaga mamilionikwa hiyo matatizo ya watu wa dar ni masanduku ya posta??
I will win with no doubt! I deliver different and practical message ambayo wanasiasa na washabiki uchwala hawependi kusikia!Teh,vp Trump utashnda lkn hapo USA,maana wana republican hawakukubal kabisa
Hii project posta waliianza siku nyingi tangu 2010 siyo makonda ni posta wenyewe msitafute sifa IPO arusha pia Na itaendelea Tanzania mzima
Apokee kijiti makonda ni mkuu Wa posta acheni sifa sifa wanatakiwa wapewe shirika la posta wenyewe siyo makonda dar Na arusha project inakaribia kumalizika itaendelea tanga morogoro mtwara lindi Na mwanza kwa mujibu Wa posta sifa hizi ni za shirika la posta kwa kuleta huu mfumo mzuri Na wanataka kuweka mpaka map kama Google map kwa akili ya kuwafikia wateja wao kiurahisiHakuna aliyesema kwamba Mkuu wa Mkoa ndiyo ameanzisha bali amepokea kijiti kama yalivyo mambo mengi kama siyo yote hata Raisi Magufuli hakuna aliloanzisha bali anaendeleza yale ambayo watangulizi wake waliyaanzisha na ndiyo maana wanasema kupokezana kijiti ndiyo maana yake, hivyo Mkuu wa Mkoa Makonda kwa upande wake amesema ili kulifanikisha hilo atasimamia Mitaa yote iwe na Majina na namba za nyumba!
Apokee kijiti makonda ni mkuu Wa posta acheni sifa sifa wanatakiwa wapewe shirika la posta wenyewe siyo makonda dar Na arusha project inakaribia kumalizika itaendelea tanga morogoro mtwara lindi Na mwanza kwa mujibu Wa posta sifa hizi ni za shirika la posta kwa kuleta huu mfumo mzuri Na wanataka kuweka mpaka map kama Google map kwa akili ya kuwafikia wateja wao kiurahisi
Kwa hiyo makonda ndio atatoa Namba za nyumba Tanzania mzima wewe ungewapongeza shirika la posta kwenye hili siyo makonda haya mashirika pia yanahitaji kupongezwa yakifanya vitu vizuri pia yanaendeshwa Na watanzania wenzetu nao wanahitaji motishaUsiwe mgumu kuelewa namna hiyo, siyo kazi ya Posta kutoa majina ya mitaa na namba za nyumba bali ni kazi ya Serikali za Mitaa pamoja na Jiji la Dar na ndiyo maana Posta wenyewe ndiyo waliomulika Mkuu wa Dar!
Kwa hiyo makonda ndio atatoa Namba za nyumba Tanzania mzima wewe ungewapongeza shirika la posta kwenye hili siyo makonda haya mashirika pia yanahitaji kupongezwa yakifanya vitu vizuri pia yanaendeshwa Na watanzania wenzetu nao wanahitaji motisha
Hivi huwa huna kazi ya kufanya masaa yote nikuandika utumbo wako humu si uende kambini ili server za jf zipumueNi wapi imeandikwa kwamba Mkuu wa Dar atatoa namba za nyumba TZ nzima?