Naam! Huyu ndiye Dkt. Bashiru Ally, mpenda makongamano na hoja. Wanasiasa wamzungumzia…

CCM ya sasa sio ile Mwl. Nyerere, na Bashiru wa kwenye uchambuzi hatakuwa sawa na Bashiru Katibu mkuu. Nadhani hata wewe umemsikia akisema kuwa hayupo huru tena. Hata kama ana dhamira njema ya kuifanya CCM ifanye siasa safi, sidhani kama atapata fursa hiyo. Kwa kifupi ni kwamba, Bashiru hawezi kuibadilisha CCM, bali CCM ndio itambadilisha yeye.
 
Niseme wazi tu, ni msikilizajia sana wa uchambuzi wa Dr. Bashiru, na huwa na walinganisha na wengine wa ngazi hizo. Niseme tu wazi CCM imefanya uteuzi ulionigusa, na kuanza kukumbuka zamani nikiwa TYL, na moto uliokuwa unawaka.

Huyu ni mchambuzi wa mambo yakinifu, na chama chochote kingemuwahi ni lulu katika uwanja wa falsafa na siasa. Kwa maono yangu huyu ndie atawafuata akina, Mwalimu (RIP), Mzee Sokoine (RIP) na Mzee Kolimba.

Hawa watu wakuwa wakiandika madodoso yaliyokuwa yakichanua na kuleta migongano chanya ya kifikra iliyozaa fikra na falsafa mbadala ndani ya chama (TANU - CCM). Hongereni CCM na nategemea vitu vipya kutokana na mchango wa huyu msomi nguli, mtumieni vizuri.
unauhakika Ccm itakuwepo 3 yrs to come!?
 
CCM ya sasa sio ile Mwl. Nyerere, na Bashiru wa kwenye uchambuzi hatakuwa sawa na Bashiru Katibu mkuu. Nadhani hata wewe umemsikia akisema kuwa hayupo huru tena. Hata kama ana dhamira njema ya kuifanya CCM ifanye siasa safi, sidhani kama atapata fursa hiyo. Kwa kifupi ni kwamba, Bashiru hawezi kuibadilisha CCM, bali CCM ndio itambadilisha yeye.
Haswaa
 
Imeshasemwa, Katibu hapaswi kuchambua. Yeye huripoti vilivyoamuliwa vikaoni. Mkuu, ubobezi katika kuchambua unasaidiaje katika mazingira hayo?
 
Niseme wazi tu, ni msikilizajia sana wa uchambuzi wa Dr. Bashiru, na huwa na walinganisha na wengine wa ngazi hizo. Niseme tu wazi CCM imefanya uteuzi ulionigusa, na kuanza kukumbuka zamani nikiwa TYL, na moto uliokuwa unawaka.

Huyu ni mchambuzi wa mambo yakinifu, na chama chochote kingemuwahi ni lulu katika uwanja wa falsafa na siasa. Kwa maono yangu huyu ndie atawafuata akina, Mwalimu (RIP), Mzee Sokoine (RIP) na Mzee Kolimba.

Hawa watu wakuwa wakiandika madodoso yaliyokuwa yakichanua na kuleta migongano chanya ya kifikra iliyozaa fikra na falsafa mbadala ndani ya chama (TANU - CCM). Hongereni CCM na nategemea vitu vipya kutokana na mchango wa huyu msomi nguli, mtumieni vizuri.
Na mimi namuona hivyo.Ila kwa jinsi wana CCM tulio wengi wanavyopenda ubwete na bwerere,tusubiri chuki kwake.Ila yes,"mlima umehamia CCM" I agree with you, Bashiru ni incarnation ya Mwalimu.Tusubiri kilio Lumumba na CCM kwa ujumla.Mzee Tupa Tupa uko wapi na tungo zako?
 
Imeshasemwa, Katibu hapaswi kuchambua. Yeye huripoti vilivyoamuliwa vikaoni. Mkuu, ubobezi katika kuchambua unasaidiaje katika mazingira hayo?
Mkuu inategemea unamsoma vipi, kama katibu mkuu ni mtu mwenye SAUTI ndani ya chama. Anatakiwa achambue ndani ya chama chake ili aweze kuinfluence policy decisions. Mchango wake ndani ya chama utategemea zaidi uwezo wake wa kuchambua na kushawishi wengine, kama hatachambua basi atakuwa kama robot wa kutekeleza. Wakisha kubaliana ndiyo hapo anatakiwa aende na msimamo wa chama na kama hakubaliani na msimamo huo aamue kusuka au kuchana. Hivyo ubobezi wake wa kuchambua bado una nafasi kama kweli ni mchambuzi mahiri na mjasiri.
 
Ni Kweli Mkuu,pia Ninachojua alipata Upper second KWENYE Degree yake,
Na Miongoni mwa Referee wake Au wal
Dr.hana lolote yule anafuata tu upepo wa mzee wa hiiiiiii!
Miaka ya Mwanzoni mwa 2000,wenzake wana First Class,Hawa kina Bareguu,Shivji ni miongoni mwa Referee wake,Mara ya Kwanza hakupata Nafasi Udsm baada tuu ya Kumaliza,Alikuja Kuitwa baadae Sana,
 
Ni Kweli Mkuu,pia Ninachojua alipata Upper second KWENYE Degree yake,
Na Miongoni mwa Referee wake Au walMiaka ya Mwanzoni mwa 2000,wenzake wana First Class,Hawa kina Bareguu,Shivji ni miongoni mwa Referee wake,Mara ya Kwanza hakupata Nafasi Udsm baada tuu ya Kumaliza,Alikuja Kuitwa baadae Sana,
BA political science&Public administration
 
Back
Top Bottom