sun wu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,020
- 1,419
hapana mimi siwezi kumshauri mtu kuhusu swala la mapenzi na dini, nadhani decision is within the person him/her self, kikubwa mtu kabla hajafanya maamuzi aangali moyo wake, na suala la imani si kikwazo kwa kila mtu ila kwangu mimi niliona ni kikwazo kwa sababu mimi na yule guy tulikua tunatofautiana sana katika mambo mengi kutikana na imani yake na mimi kuna vitu ambavyo sikuwahi kuvizoea kutonana kwamba nimelelewa katika mazingira ya imani ya kikristo so it was so hard on my side.
mwenzangu alikua ni muislamu sasa huoni hiyo tofauti ilikua kubwa sana
True kinacho-matter ni furaha yako na wewe kuona ni mambo gani huwezi kuishi nayo. Ni kweli kila mtu kuna line he/she can not cross (its only fair) lakini ningejiweka on his shoes, maybe kama ningekuwa nakupenda sana wewe na ninajua maisha uliyokulia na vitu vingine ambavyo hupendi kufanya maybe ningefanya hivyo vitu faragha bila kukukwaza yaani kwa wakati wangu (in short we share everything but when it comes to Imani we agree to disagree)