Badili, ukishamuoa rudi kwenye imani yako!
I know a couple ambao wao walipendana ila wazazi ikawa issue, so mume alimfuata mke, wakafunga ndoa; then mke akamfuta mume na kufunga tena ndoa, baadaye kila mtu alibaki na imani yake!
Hao hawko katika imani zao bali wapo kwenye imani ya kiserikali, wakiiabudu Serikali! Inakuwaje unasema kuwa una imani huku unavunja kwa makuasudi amri ya aliekuumba, kwa mujibu wa imani yako?