Naachwa kisa ni Dini

hapana mimi siwezi kumshauri mtu kuhusu swala la mapenzi na dini, nadhani decision is within the person him/her self, kikubwa mtu kabla hajafanya maamuzi aangali moyo wake, na suala la imani si kikwazo kwa kila mtu ila kwangu mimi niliona ni kikwazo kwa sababu mimi na yule guy tulikua tunatofautiana sana katika mambo mengi kutikana na imani yake na mimi kuna vitu ambavyo sikuwahi kuvizoea kutonana kwamba nimelelewa katika mazingira ya imani ya kikristo so it was so hard on my side.

mwenzangu alikua ni muislamu sasa huoni hiyo tofauti ilikua kubwa sana

True kinacho-matter ni furaha yako na wewe kuona ni mambo gani huwezi kuishi nayo. Ni kweli kila mtu kuna line he/she can not cross (its only fair) lakini ningejiweka on his shoes, maybe kama ningekuwa nakupenda sana wewe na ninajua maisha uliyokulia na vitu vingine ambavyo hupendi kufanya maybe ningefanya hivyo vitu faragha bila kukukwaza yaani kwa wakati wangu (in short we share everything but when it comes to Imani we agree to disagree)
 
thats good ila unajua kuna mtu hata aende ulaya akae miaka hamsini kuna tabia hawezi kuziacha pamoja na some attitudes sasa i tried lakini niliona kwamba somethings may never change then i decided to find my way

baada ya kuondoka ndio mtu nadai atabadilika sasa it was too late three years mnapigizana kelele kwamba i dont want this..... i dont want that lol mi nlichoka nikaona hapa hamna future kwani mi wanaume walikua hawanioni? walikua wanafukuzana tena wa maana lol ya nini kujichosha na mtu asiyeelewa wakati muda unaenda tu
 
Ha ha haa Nadhani waliosema "Love isn't finding a perfect person, its seeing an imperfect person perfectly" walikosea.. (joking...) :)

Anyway ni kweli sometimes sio vema kufanya sacrifices zitakazo-change (who you are) sababu ya mtu, kufanya hivyo kunaweza kusababisha uanze kumchukia mtu uliyempenda kabla... I guess hapa inabidi to think with your heart as well as your head. Lakini kama nyote mpo tayari kuendesha maisha you can overcome anything
 
i've been in dat shoe,i couldnt be a muslim my self,..but if she wants u to change your religion,that means she want u to be someone else..but the truth remains that u r always a muslim,and if you change to be a christian it wont be because u truly luv jesus,would it?

One should be firm in his/her stand dubious cant stand as far as faith concern.
 
Mkuu Marriage ni:- "The legal union of a man and woman as husband and wife", hivyo basi sio kwamba ni amri ya Mungu ndio sababu kuna ndoa za kiserikali.., hii ni status ya watu walio pamoja ambayo community zimejiwekea, na husaidia sana hata baadae inapokuja mambo ya divorce na urithi.

Ndio maana nikasema badala ya mmoja wao kuacha kile anochokiamini na kubadilisha kingine (kwa kulazimishwa) ni bora waendelee na kila mtu imani yake ila muungano huwe tu kwenye mume na mke (kisheria)

Nafikiri huendi na mada! KISA NI DINI
 
Hio itakuwa ni decision yao wawili (wazazi), ila watoto watakapokua na kujua na kuelewa itakuwa ni choice ya watoto, kuna familia nyingi nimeziona baba mpagani mama mkristo nusu watoto waislamu na nusu wakristu, wengine wapagani (its just a choice)

Samahani lakini hebu twambie wewe ulishauriwa na nani kufuata dini na ulipofika umri gani?
 
Nimekuwa na mpenzi wangu wa mwaka mmoja,siku za hivi karibuni alianza kupuuza simu zangu na nilipochimbua zaidi na kuweza kumuhoji aliniambia ananipenda ila Dini ndio tatizo.mimi ni muislamu naye ni mkristo.na mimi siwezi kubadili dini,na kumuacha ni vigumu sana kwani nampenda zaidi ya sana.wakubwa nisaidieni maana sijui la kufanya.

alikuwa ameplan kukuacha tu huyo bi dada..
 
Kwahio dini inaruhusu kuwa na mwanaume nje ya ndoa asiye dini yako ila tu msiwe pamoja kisheria ?, Anyway ndio maana nikasema hapa ni muhusika mwenyewe kutokana na imani zake na anavyojisikia ndio anaweza kuamua, ila isiwe mtu kuamua sababu ya shinikizo la mtu, community au ndugu na jamaa. Tena huyo jamaa aliokuja na vitisho nadhani uliepuka vingi sababu hio tabia ya kibabe yake inatisha zaidi na ingevunja mahusiano yenu kabla ya hizo tofauti zenu za imani

Kuwa na dini hakuna maana kuwa tupo perfect kwenye kila jambo. Dini inatukataza uhusiano nje ya ndowa lakini Kuingia ndani ya ndowa kuna mambo mengi ambayo pengine yanakufanya kuwa unaingia katika jambo lillo takatifu na hakuna utakatifu wa kibinafsi iwapo hatufuati dini zetu.
Kila mmoja ana wajibu wa kufuata maagizo ya dini yake maadam anaamini dini asipofanya hivyo ni shauri yake kwa kuendeleza maovu hata pale anapokuwa anaingia umri wa kuwa na tafakuri.
 
Maneno yako hayaendi sawa. Hebu soma tena maelezo yako.
Nafikiri unaskip the point!.....nimekuuliza Mwislamu na KAFIR wapi na wapi? huyu dada ameshaijuwa kweli na tayari ana mwimba kwaya wake kanisani, wa kulaumiwa hapa ni yeye kutojuwa mapema kwamba muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake.
 
Wewe unataka usaidiwe nini na unajua kuwa kama wewe ni muislamu ukiolewa na mkristo hakuna ndoa hapo.
 
Nafikiri unaskip the point!.....nimekuuliza Mwislamu na KAFIR wapi na wapi? huyu dada ameshaijuwa kweli na tayari ana mwimba kwaya wake kanisani, wa kulaumiwa hapa ni yeye kutojuwa mapema kwamba muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake.

Unafiki wako unakuja uliposema kuwa Waislam ndio waliosababisha hayo na baadae unazungumza mengine. Tafadhali rejea posti yako ya mwanzo!
 
Ndoa ni nini ?
Sun Wu ndoa ina tafsiri nyingi kulingana na imani, tamaduni na sheria za nchi. Kwa muislamu yeyote uislamu wake unakuja kwanza kabla ya kitu kingine na ndio maana waislamu wamekuwa wakidai kuwa na mahakama ya kadhi (Naomba tusiende huku, maana hii itakuwa ni sredi inayojitegemea). Kwa tafsiri ya ndoa kwa mujibu wa uislamu, hakuna ndoa kati ya mwanaume mkristo na mwanamke muislamu. Hivyo basi huyu dada kama anataka ndoa na bwana wa kiislamu itabidi huyo jamaa awe muislamu au labda huyu dada atoke kwenye uislamu. Kwa hiyo utaona kuwa kama hataki kubadili dini, basi hawezi kupata ndoa halafu abaki kuwa muislamu. Nadhani umenisoma.
 
Sun Wu ndoa ina tafsiri nyingi kulingana na imani, tamaduni na sheria za nchi. Kwa muislamu yeyote uislamu wake unakuja kwanza kabla ya kitu kingine
Mkuu nadhani kwenye kila imani ya mtu wanaamini kwamba imani yao inakuja kwanza kabla ya kitu kingine.., lakini tunaona watu wanavunja sheria za imani zao kila siku kwa kisingizio cha ubinadamu mfano, pombe, anasa tofauti tofauti, ufisadi n.k. hivyo basi ninaweza nikasema udhaifu na ubinadamu kwanini usiende mpaka kwenye kipenda roho..., ? (furaha ya moyo).

Ukizingatia sisi wote tumetoka kwa Muumba mmoja na hakuta shetani hapa wote ni watoto wa kizazi kimoja, hivyo basi in my humble opinion sitaona kama ni vema kuleta utofauti kama dini to stand in way of love
 
Nimekuwa na mpenzi wangu wa mwaka mmoja,siku za hivi karibuni alianza kupuuza simu zangu na nilipochimbua zaidi na kuweza kumuhoji aliniambia ananipenda ila Dini ndio tatizo.mimi ni muislamu naye ni mkristo.na mimi siwezi kubadili dini,na kumuacha ni vigumu sana kwani nampenda zaidi ya sana.wakubwa nisaidieni maana sijui la kufanya.

Pole sana hicho kisa si kidogo ni kikubwa ndiyo maana hata wewe hauko tayari kudali kama yeye.
 
Wewe humpendimwenzako bali unapenda dini yako. Pia yeye ameligundua hiloameamua kuchapa lapa. Kijana una miaka 23 unaharakia nini kuoa? Tafuta maisha kwanza weye
 
Dini ni Maneno tu mimi Siogopi kubadilisha kwani vitabu vya dini vina mafundisho mazuri na karibu asilimia nyingi vinafanana ila ni ubaguzi tu ndio unaotenganisha watu kwa sababu ya MAfundisho ya waalimu wabinafsi hakuna aliyewahi kuona pepo ziadithiwazo tokea miaka mingi iliyopita watu wanaaminisha watu tu Mliambiwa Zaaneni muijaze Dunia wewe kamata yeyote PIGA MIMBA KAMA SLAA TU...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom