Naachika kila siku

kitu kitakuwa used sana kwa mtindo huo..yaani umekata millage 8 years!!!
 
Smile; Bado haka kaugonjwa unako?
 
Last edited by a moderator:
Nilidhani ilitokea kwangu tu,kumbe wengi unawafanyia hivyo!?
 
Hivi we Smile uko sawa mukichwa?
 
Last edited by a moderator:
badilisha mtazamo wako,utaachika sana!!Kumbuka jua linazama,tulia binti
 
sijaelewa unaachika????? inamaana unaingia kwenye mahusiano then unaachika au mnapoanza kuingia kwenye mahusiano... unajua kabla ya kuingia kwenye mahusiano... lazima atleast uwe rafiki naye even if for three days.. utajua nini unataka na kama anacho ama la ila kaja leo na kukutongoza na weye kichwa kichwa ndani kesho yake unapiga sim hapokei... hata kama ni mie nakutana na wewe leo na kukutongoza leo na unakubali leo leo.... sikai hapo... unless kama ni kupunguziana matatizo ya mwilini hapo naweza kukubali otherwise aaahh!!! huwezi kuingia na mtu kwenye mahusiano ya mapenzi mmefahamiana one day.... no!! na swala la kuoa hutokea automatic utayari wa moyo ndio husema na unajikuta vitu vinafayika bila plan ya miezi... so vaa chupi ya chuma "angalia tangazo la hiv" acha waje kwako smile na usiwe na pupa....
 
Inawezekana utakuwa na nguvu za giza zinakufuatilia ili usiwe na mahusiano yoyote na wanaume. Jitahidi kushughulikia tatizo hili. Kama ni mkristo nenda kanisani kwa ajili ya ushauri na maombi.

hiyo ni kweli kabisa. asije jikuta ana jini kisirani! watu wengine wamesemewa maneno ya kuwa hutaolewa kamwe! si kwamba wachumba hawaji? wanakuja basi huyo mdada atamwangalia toka chini hadi juu! yani mm niolewe na wewe mbilikimo? eti kisa dokta? na wadada wa aina wana dharau balaa!
 
Smile,
Sio kila mwanamke lazima aolewe,kwanini watu hamtaki ukubali huu ukweli!!
mfano mdogo sensa ya mwaka juzi imeonyesha wanawake ni wengi kushinda wanaume. Sasa si kila mwanamke ataolewa na si kila mwanaume ataoa.
Wengine kwa tabia zao watabaki ivo ivo tuu. Mia
 
Umesema akinitibua...Mimi ndo mwisho hivo nasepa zangu fasta.. halafu kichwa cha habari Naachika kila siku!
Ila kama unaachika kila siku ina maana unapata kila siku hivyo huna cha kupoteza!Easy come easy go.
 
Ndo niko ivi ivi af wala sijali sasa acha nizeeke kwetu nilee ndugu zangu
 
Smile dah, sijui nisemeje
 
Last edited by a moderator:
jitahidi ubadilike,utakuwa nungaembe namba one
 
Mbona ulivoandika ni kama vile unafikiri ni sifa nzuri kuwa hivo?
 

kuwa mvumilivu hakuna binadam aliyekamilika makosa madogo madogo mama unatakiwa uyapotezee, kumbuka pia na mimi ulinipiga kibuti kwa kosa ambalo silijui hadi leo ni wakati mwafaka mama wa kurudisha penzi letu
 
unatakiwa ujifunze kukaa in a relationshp othrwise ndoa yako haitadumu...miaka itaenda and u wont be settled..everyting is pocble as long as you want it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…