Naombeni kujua muda sahihi wa kukaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa..
Maana huwa nashangaa kusikia nimekaa na mpenzi wangu miaka 6..7.. Hadi nane sijui blah blah nyiingi..
Mimi nikitongozana na mtu leo tukikubaliana kesho akinitibua tu sijui upokei simu .maquestion mark kichwani.... Mimi ndo mwisho hivo nasepa zangu fasta....... Nashindwa kuelewa wenzangu mna mioyo gani ya kudumu karne then mnaachana?
Mbona mtu mzushi siku ya kwanza tu utamjua?au mimi naona visivoonekana?
wee awa jamaa wana maudhi best mtu unampigia simu hapokei ? khaaaSmile embu jichunguze mwenyewe kwanza hakuna aliye mkamilifu utaacha wangap?hapo kwenye kutibua inategemea alikutibua nini inawezekana wewe ndio ulikuwa chanzo cha mtibuano ushauri wangu rudi chini jitathmini mwenyewe kabla ya kuanzisha uhusiano wowote Uvumilivu nao una nafasi yake kwenye mapenzi.
Naombeni kujua muda sahihi wa kukaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa..
Maana huwa nashangaa kusikia nimekaa na mpenzi wangu miaka 6..7.. Hadi nane sijui blah blah nyiingi..
Mimi nikitongozana na mtu leo tukikubaliana kesho akinitibua tu sijui upokei simu .maquestion mark kichwani.... Mimi ndo mwisho hivo nasepa zangu fasta....... Nashindwa kuelewa wenzangu mna mioyo gani ya kudumu karne then mnaachana?
Mbona mtu mzushi siku ya kwanza tu utamjua?au mimi naona visivoonekana?Nadhani hapo kwene red ndio jibu sahihi otherwise wewe ni mchawi
wee awa jamaa wana maudhi best mtu unampigia simu hapokei ? khaaa
kwani wanaume wana pochi elly?hakika waswahili walinena; nyani haoni kundule; juzi tu hapa jamvini palianzishwa mada jinsi gani akina mama wasivyopokea simu na akija kupokea full visingizio, leo wewe simu haijapokelewa tu ushaanza kuweka question makr na kutaka kuvunja uhusiano, je sisi akina baba tutavunja mahusiano mangapi kama hicho kikiwa kigezo? (yaani mtu asipopokea simu tu, piga chini)? Kweli mkuki kwa nguruwe
Naombeni kujua muda sahihi wa kukaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa..
Maana huwa nashangaa kusikia nimekaa na mpenzi wangu miaka 6..7.. Hadi nane sijui blah blah nyiingi..
Mimi nikitongozana na mtu leo tukikubaliana kesho akinitibua tu sijui upokei simu .maquestion mark kichwani.... Mimi ndo mwisho hivo nasepa zangu fasta....... Nashindwa kuelewa wenzangu mna mioyo gani ya kudumu karne then mnaachana?
Mbona mtu mzushi siku ya kwanza tu utamjua?au mimi naona visivoonekana?
aiyaaaa switie nimekumisije kaka...wewe funguka tu kaka unanijua mimi sina shida...mimi msikivu
NGOJA KAKA....Smile jipime kwanza wewe
Ni nini mapungufu yako kabla ya kumlaumu mwenzako
Watu wanakaa kwenye relationship hata miaka mitano na wako safi tuu
Wanayajua mapungufu ya kila mmoja wao na wanayatengeneza
Unatakiw aujiangalie na wewe umekosea wapi na huwa unakosea wapi kabla ya kumnyooshe akidole mwenzako
Ukishajijua hapo sasa kaa na mwenzako myajadili hayo na kuyatafutia majibu
Hakuna mtu ambaye atakuwa malaika bana yaani kila kitu yuko perfect
umeona eeeh wapenda uchi tu ...wakafie mbali huko....hawatakiwi kupewa hata sekunde moyoni mwakosikushangai wewe wala sikucheki..mimi huwaga i can tell only at the first meeting..wazushi , pasua kichwa , wachunaji wanafahamika mapema tuu...
oooh kaka hata sipo ivo nakuapia basi bahati mbayanameeti wapenda uchi...Miss indepent......Smile@
Know it all....atanieleza nini yule
Rule the world....ana kazi yake na mi nina yangu
Men are dogs......wanaume ni malaya hata umpe nini
Mwanaume sio wa kuchekea......if he plays arround, I just suck him out...
Kama haya ndo mafikira yako......uzee utakukuta na malalamiko haya haya