Naachana na mke wangu rasmi

mpe nafasi ya kwenda kupumzika home kwao kwa muda then wakati anapumzika awe anafikiria kama kweli anaona umuhim wa ndoa ili kama bado anaipenda ndoa afuate misingi ya ndoa na kama anaona hakuna umuhimu wa ndoa basi arudi kwao lkn washirikishe familia yake juu ya kile kinacho endelea ndani ya ndoa yenu
 
Kumbe anafanya kazi!Me nina nuksi na jobless every corner naomba mawasiliano nae!!!
 
Usichukie mpenz...wewe ni mdudu tena senene mtamu na anaependwa na watu....sio kila mdudu ni muharibifu
oky swry sijachukia...lkn mdudu hupenda kuishi na wadudu wenzake ili waendelee kuzaliana,hasa maeneo machafu mf,jalalan,chooni nk.cyo kila mdudu hueneza magonjwa
 
oky swry sijachukia...lkn mdudu hupenda kuishi na wadudu wenzake ili waendelee kuzaliana,hasa maeneo machafu mf,jalalan,chooni nk.cyo kila mdudu hueneza magonjwa
Ila naamin wewe ni mdudu mzuri sio nzinge...
 
Wanawake wanapenda sana kuombwa msamaha! anapenda msamaha mara nyingi zaidi kuliko hata anavyompenda mwanaume wake.

Mwanamke anapokuwa na hasira, takribani nusu anayoyazungumza ni kinyume chake na hayamaanishi.

Wakati mgumu sana kwa mwanamke ni wakati ambao yupo mbali na mwanaume anaempenda kwa dhati, sio mbali kimwili tu hata kihisia pia.

Usimuache mke wako mzuri na mwenye hofu ya Mungu
 
hajanizidi kipto il NIMEMPA uhuru hapa nyumbani nimemuweka wzi kwa kila kitu soo ndo maana anajiamin i sana
Pole sana ila kabla ujafanya maamuzi jaribu siku umfanyie suprise kumpelek sehem iliyotulia,uwongee nae kwa lugha ya upole umuulize kwann hiyo hali inakuwepo yawezekan labda ana tatizo uwezi jua,ikishindikan shirikisha ndugu na viongoz wa dini naamini inaweza kutatua tatizo kuliko kusema muachane,ukute mna watoto sasa watoto watalelewa na wazaz tofauti huwa haipendezi,km ikishindikan hapo mpe nafas akatulize akili kwao km miez sita lzm atajifunza na atabadirika
 
Mkuu vipi labda ulimgegeda sana akapata maumivu ndo maana akanuna. BTW vp tatizo la maumivu baada ya tendo la ndoa liliisha?

Huyu jamaa alileta hii story kumhusu mke

Msaada; mkewangu huwa anapata maumivu makali kila baada ya kufanya mapenzi
 


Huyo mke sio mbaya! Umemuendekeza! Kabla hujamwacha jaribu ku:

- akinuna bila sababu nyamaza na usihangaike naye, timiza majukumu yako Kama Baba, usimkomoe Ila usimwombe msamaha.

Mwanamke ukimzoesha hivyo atakupanda kichwa I!
 
Tunapenda kujinunisha ila huyo wako chiboko
Huyu wake ana mwanaume wa nje hizo zote ni jeuri na sababu za kutaka kuvunja mahusiano na kuweka sababu za ndoa kushindikana kurekebishika.

Huyo mwanamke anacho hitaji ni kusikia siku ameambiwa ondoka kwenu sikutaki tuachane....!

Kwamatukio aliyo yaeleza muhusika kama ni kweli basi mkewe kamchoka ana mtafutia sababu za kuachana nae...
 
Hakufai huyo,piga chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…