KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Wewe mrembo usitudharau wanaume wote bhana,we mdharau huyo huyo maharage ya Mbeya lakini si wanaume wote coz wengine tunajua kusimamia kucha,yaani mpaka mbunye inatoa upepo wa minyampo au vipi?,yaani ni pra praaa praaa praaaaaa pyeee pyeeee pyeeee na maji yanaruka tri trii triii triii triiii.Hawa ndio wanaume wenyewe eti!!
Kwa nini usimuahidi kumpa uroda?Nitafute nikupe hata buku jero ya vocha....[emoji12]
Cesilia epai na biso,kukungwendu wa zabanga,nakupenda bure motonyoso epai wapi?tena kwa haraka asichelewe kabla ajaachwa yeye
Kwa hiyo mume wako huwa humshushi kifuani kabla hajamwaga shahawa ?Siwez kufanya upuuz huo kwan mume si nimemchagua mwenyewe
Basi Haleluya nakusubiri PM,uje tupeane chachandu na mbilimbi ili kila mmoja aondoke karowa au vipi?Tatizo naona huyu kaka anaangaliaga movie za kifilipino na mkewe! Waimaliza wanaanza kuigiza wenyewe!
Mke unampikia ananuna kwa kuzidisha chumvi (labda kama alikuwa anaumwa napo sio kununa had kuondoka home)
Unapewa ratiba ya kazi unanuna ( kuna wale utasikia mshinde salama, akiulizwa unaenda wapi ? Utasikia kama mwanaume mizunguko mingi! Ndo kakujibu hivo! Hahahahhaa) (uuuwii nampenda mme wangu Mungu akulinde ulipo mpnz)
Huyo dada ni pepo kwenye hiyo ndoa
Wewe waonaje?Kwa hiyo mume wako huwa humshushi kifuani kabla hajamwaga shahawa ?
Usisome ili ujibu soma ili ueleweDuuh inaonesha una uzoefu wa kushusha abiria njiani bila huruma wewe au?
Ushauri wangu ni huuWakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa
Mke wangu ni mzuri ana hofu ya mungu ana kazi pia ananipenda ila huwa ana tabia ya kununa hovyo yaani hataki kukosolewa yaani kila nikimkosoa tutakaa siku tatu bila kuongea akiwa kanuna yaani lazma nimuombe msamaha hata kama kanikosea
Pia huwa ana tabia ya kunijaribu sanaa kama kuna kipindi nilimkuta anaongea na mtu usiku nikamwambia SIKUAMINI nakumbuka usiku ule ule alichukua begi lake akaondoka yaaani ndugu zangu nilifikilia sanaa nilipoksea sikupaonaa ila sikukata tamaa nikzidi kumwomba arudi home niliomba msamaha sanaa kisha akakuali akarudi
Kipindi kingine nilipika viazi na nyama nikazidisha mchuzi sikuamini macho yangu yaaani mamaa alikasilika sanaaa akakataa kula akaondoka kwa hasiraa kwenda kulala kwa dadaake kule pia nilitumia nguvu kubwa kumrudisha
Sasa hii ya sasa ndo imenikatisha tamaa yaani niko kikazi tanga mke wangu kuwa anapiga simu mda wote akidai kanimis nikamwambia ntarudi alhamis but nilipata emergrncy mke akakasirika sanaaa huku akisistiza simthamini pia akidai tuachene tuu sasa jana ndio nilirudi home akanipokea vizuri tuu nikamwomba msamaha kwa kumpa feki promis akasema kanismehe kumbe ana yake moyoni
alikataa kuongea na mimi tangu jana bila mimi kujua sababu hadi asubuhi namuaga naenda kazini kumalizia kipolo cha kazi akakasilika zaidi akaondoka pia kazini kwake bila hata kuniaga kitendo kile kimenishangaza sanaaa
Sasa ntaka nifanye mmamuzi magumu naona antaka ajifanye mwanamme ndani ya nyumba ntaka nimpe taraka naombeni ushauri
Hahahaa! Thanks kwa kunikaribisha nije nipate darsa toka kwa mwanandoa! Lakini dah, mwanandoa mwenyewe naona analialia tu hapa halafu mi ndo nina aleji kishenzi na mtu anayependa kulia! Yaani mwanandoa mmoja anapika viaza nyama na mamichuzi kibao ndani yake utafikiri makongoro na mwanandoa mwingine anaamua kususa! Kweli nahitaji darsa manake hapo mimi ningesema "haa! yaani we chuzi tamu lote hili unasusa? shauri yako, ukisusa wenzio twala!"
Heeee! Taratibu mkuu mbona hueleweki!Basi Haleluya nakusubiri PM,uje tupeane chachandu na mbilimbi ili kila mmoja aondoke karowa au vipi?
Nionavyo mimi ni kama vile una hasira sana mamii.Wewe waonaje?
Nimekupata mrembo,nitafanya hivyo.Usisome ili ujibu soma ili uelewe
Basi pole mamii,nilikuwa najaribu bahati yangu,unisamehe.Heeee! Taratibu mkuu mbona hueleweki!
Mke wa mtu mimi! Pm kufanya nini!
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app