Mwanamke akifikishaga umri wa 28+ afu awe Hana ndoa ama mahusiano yanayoweza kuzalisha ndoa huwaga Anachanganyikiwa Sana.
Wengi wao huwa wanahisi wamerogwa kumbe Wenyewe ndo walijichelewesha kwa kuweka vigezo vigumu eti Mara nataka mwanaume mwenye pesa,gari,mweusi,mrefu na asiwe anatumia Tecno.