Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,062
- 3,620
Acha tu maana hamna namna nyingine tena
HIVI KUNA KADA AMBAYO WATU WAKE WANAFANYA KAZI KWENYE MAZINGIRA PERFECT,UNASEMEA MISHAHARA??MSHAHARA UNAOTOSHA NI KIASI GANI?NA NI KADA GANI AMBAYO MSHAHARA UNAWATOSHA.TATITZO KUBWA LA WALIMU NI KUJILIZALIZA TUUU,WANAMWAMBIA KILA MTU MPAKA MTOTO MDOGO ANAJUA SHIDA ZAO NDO MAANA WANADHAURIKA.MTU KAMA UNAONA MSHAHARA HAUKUTOSHI ACHA KATAFUTE KAZI UNAYOTAKA.Ndugu wadau: Najua humu ndani kuna watu tofauti wanachuo,watumishi na hata wanafunz...mm nizungumzie hii idara ya UALIMU licha ya kudharaulika kwa mishahara duni na mazingira mabovu ya kazi dharau imepitiliza mpaka walimu kupigwa makofi hadharani inaniuma sana si tu kwa ujinga wa huyu jamaa aliyepigwa Bali hata hii kada imekaa kudharaulika sijawahi kusika kama kuna Daktari kapigwa au Mhasibu lakin ni miaka ya juzi tu walimu walikula bakora hadharani na mkuu wa wilaya...kwa dharau hizi walimu wasitegemee kama kuna Siku watatekelezewa madai yao ...mmeyataka wenyewe bakini wenyewe kwenye kada yenu
Kama bodaboda ni yake au akiwa hata na bajaji ya kwake, uhakika kuingiza 30 kwa siku upo tena kama ni bajaji ndo kabisaaa.Pole sana, kila laheri huko unakohamia.... Unaenda kuwa dereva bodaboda nini?!
Sijadharau nimemuulizaKama bodaboda ni yake au akiwa hata na bajaji ya kwake, uhakika kuingiza 30 kwa siku upo tena kama ni bajaji ndo kabisaaa.
Tatizo wasomi wanadharau hizi kazi wakati zinalipa sana Mkuu!
Acha stereotypes thoughts kwamba ualimu ni kimbilio la watu waliofeli tena koma kabisaKama ualimu utaendelea kuwa kimbilio la waliofeli basi ualimu utazidi kudharaulika labda serikali ichuje watu wenye sifa za kuwa walimu
Ndiyo ukweli. Mara ya mwisho lini umesikia mtu kafaulu kaenda kusoma ualimu kama sio miaka 15 iliyopita. Usipinge ukweli wakati ndio hali halisi, ukitaka kusahihisha mfumo mbovu lazima ukubali kwanza kuna mahala tunakosea. Watu wanaosoma ualimu siku hizi hawajui hata tofauti ya R na L sijui wanafundisha nini watoto.Acha stereotypes thoughts kwamba ualimu ni kimbilio la watu waliofeli tena koma kabisa
Acha argument za uongoNdiyo ukweli. Mara ya mwisho lini umesikia mtu kafaulu kaenda kusoma ualimu kama sio miaka 15 iliyopita. Usipinge ukweli wakati ndio hali halisi, ukitaka kusahihisha mfumo mbovu lazima ukubali kwanza kuna mahala tunakosea. Watu wanaosoma ualimu siku hizi hawajui hata tofauti ya R na L sijui wanafundisha nini watoto.
Acha uongo......Ndiyo ukweli. Mara ya mwisho lini umesikia mtu kafaulu kaenda kusoma ualimu kama sio miaka 15 iliyopita. Usipinge ukweli wakati ndio hali halisi, ukitaka kusahihisha mfumo mbovu lazima ukubali kwanza kuna mahala tunakosea. Watu wanaosoma ualimu siku hizi hawajui hata tofauti ya R na L sijui wanafundisha nini watoto.
Acha argument za uongo
Acha uongo......
Sio kupanic hayo mambo unavoongea ni vice versa, miaka hiyo ndio failures walikua wanakimbilia ualimu chuo gani sahivi kinachukua failures kwenda ualimu? Zamani watu walikua wana tumia vyeti feki kuingia kwenye ualimu biashara hizo sahivi nani anazifanya? Ukiamua kuongea ishu muhimu kama hii vema ukaweka chai pembeniHa-ha walimu msipanic
Idiot & non senseNdiyo ukweli. Mara ya mwisho lini umesikia mtu kafaulu kaenda kusoma ualimu kama sio miaka 15 iliyopita. Usipinge ukweli wakati ndio hali halisi, ukitaka kusahihisha mfumo mbovu lazima ukubali kwanza kuna mahala tunakosea. Watu wanaosoma ualimu siku hizi hawajui hata tofauti ya R na L sijui wanafundisha nini watoto.
Oh I see. Kuna watu nawafahamu ni vilaza mwisho na sahizi ni walimu tena wamemaliza mwaka Jana tu, nilijua bado mchezo unaendeleaSio kupanic hayo mambo unavoongea ni vice versa, miaka hiyo ndio failures walikua wanakimbilia ualimu chuo gani sahivi kinachukua failures kwenda ualimu? Zamani watu walikua wana tumia vyeti feki kuingia kwenye ualimu biashara hizo sahivi nani anazifanya? Ukiamua kuongea ishu muhimu kama hii vema ukaweka chai pembeni
Ndiyo ukweli. Mara ya mwisho lini umesikia mtu kafaulu kaenda kusoma ualimu kama sio miaka 15 iliyopita. Usipinge ukweli wakati ndio hali halisi, ukitaka kusahihisha mfumo mbovu lazima ukubali kwanza kuna mahala tunakosea. Watu wanaosoma ualimu siku hizi hawajui hata tofauti ya R na L sijui wanafundisha nini watoto.
Pole sanaNdugu wadau: Najua humu ndani kuna watu tofauti wanachuo,watumishi na hata wanafunz...mm nizungumzie hii idara ya UALIMU licha ya kudharaulika kwa mishahara duni na mazingira mabovu ya kazi dharau imepitiliza mpaka walimu kupigwa makofi hadharani inaniuma sana si tu kwa ujinga wa huyu jamaa aliyepigwa Bali hata hii kada imekaa kudharaulika sijawahi kusika kama kuna Daktari kapigwa au Mhasibu lakin ni miaka ya juzi tu walimu walikula bakora hadharani na mkuu wa wilaya...kwa dharau hizi walimu wasitegemee kama kuna Siku watatekelezewa madai yao ...mmeyataka wenyewe bakini wenyewe kwenye kada yenu
Mzee hapa sijakuelewa mfano SUA cut off point za kozi zote ni 4 nimeona watu wengi waliingia kwa dvn 1,2 pamoja na 3 za mwanzoni ebu fafanua hiyo miaka 15 unamaanisha mini?Ndiyo ukweli. Mara ya mwisho lini umesikia mtu kafaulu kaenda kusoma ualimu kama sio miaka 15 iliyopita. Usipinge ukweli wakati ndio hali halisi, ukitaka kusahihisha mfumo mbovu lazima ukubali kwanza kuna mahala tunakosea. Watu wanaosoma ualimu siku hizi hawajui hata tofauti ya R na L sijui wanafundisha nini watoto.
Wacha madharau mkuuSi upige nanhii ndio hua incentive zenu?