Acha kuwasaidia. Bora ule hiyo hela na familia yako. Hao ndugu hawana msaada wowote.
kama unaona unaumia mkuu ni bora uache kusaidia tu aiseehua napiga mapande ya ajira mkuu; wakishapata sasa huwaoni mkuu na wanageuka wajuaji. inauma sana kuona mtu umempa pande then anakugeuka baada ya kua mambo safi. kama binadamu you expect walau hata kuona ukikumbukwa kidogo inaleta faraja ila hakuna. wabongo si watu.
hua napiga mapande ya ajira mkuu; wakishapata sasa huwaoni mkuu na wanageuka wajuaji. inauma sana kuona mtu umempa pande then anakugeuka baada ya kua mambo safi. kama binadamu you expect walau hata kuona ukikumbukwa kidogo inaleta faraja ila hakuna. wabongo si watu.
unalipwa indirect ila huwezi kujua, inawezekana malipo ni kuepushwa na maradhi, ajali, kufukuzwa n.k.
Mungu mkubwa, allah akbar
we endelea kuwapa mashavu na usitegemee malipo toka kwao, hata wana wa israel walisahau kama Mungu aliyewatoa israel bado yupo na anawaona wakaamua kutengeza sanamu ya ng'ombe ndama.
waache waabudu ndama mkuu, we chapa mwendo watusulie tu.
Tumsifu Yesu kristu