Nachukua fursa hii kutangaza rasmi kuwa naacha kupiga ulabu AKA pombe kwani nimeona haina deal zaidi ya kuniweka karibu na kaburi.....btw ive seen most ya my relative wana suffer kwa magonjwa ambayo tunaweza kuyazuia kama kisukari......people are suffering aisee cus ya pombe....
Pia pombe inanifanya niwe maskini na uwezekano mkubwa wa mie kupata ngwengwe.....
kwa hiyo na nyie niungeni mkono wadau......home kwangu kuna wine imebakia kama kuna mtu anaitaka aje nitampatia....
Nitampatia max ila sina hakika kama utafika.....Hongera kwa uamuzi wako,nani kakwambia kunywa pombe ni dhambi?Anyway kama ni hivyo umaskini unaweza kuwa nao hata kama hupombeki.Nipe RV nije kuchukua huo mvinyo ulioususa.
Umeandaa mbadala wake lakini? Usijehamia kwenye ulevi usiofaa zaidi UMEJIANDANDAAJE?
Nitampatia max ila sina hakika kama utafika.....
BTW nimeamua substitute ni kukaaa ndani kuangalia tv na kusoma vitabu......sitaki kuji associate na makundi ya mapopo AKA wakesha bar....
Masikini viwanda vya pombe, si vitafilisika kwa kuacha kwako kuwaunga mkono!?Nachukua fursa hii kutangaza rasmi kuwa naacha kupiga ulabu AKA pombe kwani nimeona haina deal zaidi ya kuniweka karibu na kaburi.....btw ive seen most ya my relative wana suffer kwa magonjwa ambayo tunaweza kuyazuia kama kisukari......people are suffering aisee cus ya pombe....
Pia pombe inanifanya niwe maskini na uwezekano mkubwa wa mie kupata ngwengwe.....
kwa hiyo na nyie niungeni mkono wadau......home kwangu kuna wine imebakia kama kuna mtu anaitaka aje nitampatia....
Umeandaa mbadala wake lakini? Usijehamia kwenye ulevi usiofaa zaidi UMEJIANDANDAAJE?
Naacha kupunguza nimekuwa napunguza lakini nikirudi nilikuwa nafidia kipindi nilichokuwa sipigi ulabuNingekushauri upunguze siyo kuacha.
bwahahahahaha @ New York City,USA hatuishiwagiWewe sema kipato kimeyumba,..sio ulete story za kisanii hapa,......kunywa pombe kwa kiasi na kwa ajili ya starehe zako.
Ndio hapo pa kujiuliza sasa.imagine arifu starehe gani mtu unakunywa unakufa aisee
acha na nanihii kabisanachukua fursa hii kutangaza rasmi kuwa naacha kupiga ulabu aka pombe kwani nimeona haina deal zaidi ya kuniweka karibu na kaburi.....btw ive seen most ya my relative wana suffer kwa magonjwa ambayo tunaweza kuyazuia kama kisukari......people are suffering aisee cus ya pombe....
Pia pombe inanifanya niwe maskini na uwezekano mkubwa wa mie kupata ngwengwe.....
Kwa hiyo na nyie niungeni mkono wadau......home kwangu kuna wine imebakia kama kuna mtu anaitaka aje nitampatia....