ACHA KUMSHAURI MWENZIO UJINGA WA MIAKA YA ZAMANI,
SIKU HIZI TAASISI ZIKO SERIOUS-
LABDA KAMA ANA HAMU YA KUFUNGWA!!!
mm mwenzako nlifanya maamuzi magum kama yako mwaka Jana/ nkajiingiza kwe kilimo cha mpunga, challenges zipo japo hazifanan na ulaji wa vumbi LA chaki na kipato chake , kwa sasa navuna kitunguu changu, najiaandaa tena na msimu mpya wa mpunga kiukwel though nashinda shamba lakin nanenepa kila uchwao! na mambo yanaenda vzrHabari wakuu wote wa jf
nawapenda sana hasa kwa mambo mazur nnayopata
Mmi ni mtumishi wa serikali kada ya elimu (mwl)
Sababu hasa ni hizi
1.interest au hob
Kiukweli hii kazi siipendi niliisomea bada ya kuwa sina otenative najitaidi niikubali but inashindikana so naona kama napoteza muda
2.kipato
Najua kuwa watumishi weng hasa awamu hii ya 5 weng wanalalamika hali ya uchumi but mmi naona hii yangu ni too much
Kiukweli najitahidi sana kujibana ila naona nashindwa, nashindwa kufanya hata mambo ya kawaida tu nikiwa kama baba natamani familiar yangu angalau iishi standard hata kias tu but huku nliko naona kama ndoto
Yan labda uwe mzee wa topup jambo ambalo naona pia ntaongeza ufukara mana ukiisha ndo utataabika kama nnavyoona wengine
Lengo la uzi huu ci kuwatangazia msimamo wangu bali ni kuwaomba wale ambao walishachukua maamuzi kama yangu au wanaotarajia hivyo waendlee kunipa moyo pia wote ambao watakua na wasaa basi wanisaidie kimawazo nifkie lengo langu
Naomba kuwaslisha
NB: Pls nmejitaidi kutumia lugha nzuri naomba bro o sister kama unanishaur bas lugha iwe ya kunielewesha isiwe ya kebehi au kunitusi kwan kuyaheshimu maamuzi ya mtu ni jambo la busara
Hongera sana mkuu unipokee uko nammmm mwenzako nlifanya maamuzi magum kama yako mwaka Jana/ nkajiingiza kwe kilimo cha mpunga, challenges zipo japo hazifanan na ulaji wa vumbi LA chaki na kipato chake , kwa sasa navuna kitunguu changu, najiaandaa tena na msimu mpya wa mpunga kiukwel though nashinda shamba lakin nanenepa kila uchwao! na mambo yanaenda vzr
Ninaloliona ni kwamba jamaa atulie kwanza ajitafakari upyaTena sio kupanga tu, ameshafanya akaona kinampa faida ya kumwezesha kuendesha maisha
Ninaloliona ni kwamba jamaa atulie kwanza ajitafakari upya
Kabla hujaacha kazi hakikisha una mhimili wa kukuwezesha wewe na familia yako kusurvive.. Baada ya kujihakikishia hilo piga chini kacharike kivingine.
Bila kuzingatia hilo utazikumbuka zile 500 ulizokuwa ukizipata nwisho wa mwezi.
Kabisa, yasije yakamkuta ya kina sie hapa
Hongera sana mkuu unipokee uko namm
Ok, kama umewahi kufanya huo ujasiriamali na ukaona mambo yanakwenda vyema basi hakikisha una mtaji wa kutosha wa kufanya hayo. Atleast zaidi ya nusu ya mtaji wako uwe nao kama akiba yako, kwa mfano kama unazo 5M unazotaka kuzitumia kama mtaji wa shughuli yako basi uwe na extra 2.5M ya akiba kwa ak ya emergency!Kidogo nna experience ya ujasiria mali coz hata wakati naenda kweny ajiara nlitoka kwenye biashara ambayo nlishaiona inaangalau afadhali ya Maisha so nataka nirudi kulekule
karbu boss
Very nice mkuuOk, kama umewahi kufanya huo ujasiriamali na ukaona mambo yanakwenda vyema basi hakikisha una mtaji wa kutosha wa kufanya hayo. Atleast zaidi ya nusu ya mtaji wako uwe nao kama akiba yako, kwa mfano kama unazo 5M unazotaka kuzitumia kama mtaji wa shughuli yako basi uwe na extra 2.5M ya akiba kwa ak ya emergency!
Usiwapuuze pia waliokushauri usiache kazi ambao naona ndio majority ila naweza kuungana na wewe katika kuchukua risk. Ili tufanikiwe sometimes inabidi tuchkuwe risks.
Hakikisha pia unapata full consent ya mke wako maana ndio mwenzako na mtapambana pamoja katika dhamira yenu.
Kama kuupata mhimili kwasasa ni shida nakushauri usiache kazi. Ukiwa na kazi opportunities zinakuwa nyingi ila usipokuwa na kazi mambo yanagoma.Nikweli napenda iwe hivyo but kuupata huo mhimili ni zaidi ya shida
Usiache kazi,watu mtaani wanahangaika kupata kazi at least kama yako,mazingira sio rafiki kujiajiri mkuu
Ushauri wangu nimeshatoa hujaona kwani?Yep mkuu naomba experience bas
Habari wakuu wote wa jf
nawapenda sana hasa kwa mambo mazur nnayopata
Mmi ni mtumishi wa serikali kada ya elimu (mwl)
Sababu hasa ni hizi
1.interest au hob
Kiukweli hii kazi siipendi niliisomea bada ya kuwa sina otenative najitaidi niikubali but inashindikana so naona kama napoteza muda
2.kipato
Najua kuwa watumishi weng hasa awamu hii ya 5 weng wanalalamika hali ya uchumi but mmi naona hii yangu ni too much
Kiukweli najitahidi sana kujibana ila naona nashindwa, nashindwa kufanya hata mambo ya kawaida tu nikiwa kama baba natamani familiar yangu angalau iishi standard hata kias tu but huku nliko naona kama ndoto
Yan labda uwe mzee wa topup jambo ambalo naona pia ntaongeza ufukara mana ukiisha ndo utataabika kama nnavyoona wengine
Lengo la uzi huu ci kuwatangazia msimamo wangu bali ni kuwaomba wale ambao walishachukua maamuzi kama yangu au wanaotarajia hivyo waendlee kunipa moyo pia wote ambao watakua na wasaa basi wanisaidie kimawazo nifkie lengo langu
Naomba kuwaslisha
NB: Pls nmejitaidi kutumia lugha nzuri naomba bro o sister kama unanishaur bas lugha iwe ya kunielewesha isiwe ya kebehi au kunitusi kwan kuyaheshimu maamuzi ya mtu ni jambo la busara
Wanasemaga huwezi kujua thamani ya kile ulichonacho Hadi ukipotezeUsikurupuke kama hujajiandaa vya kutosha. Kitaani kumenuna ile mbaya utaadhirika.