Na wanawake pia hupendelea hivi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na wanawake pia hupendelea hivi!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by GAZETI, Oct 22, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,555
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Nimefanya utafiti usio rasmi nikagundua kuwa Wanaume wengi wanapokaa
  kwenye siti za daladala hupenda kukaa na wanawake. Hilo ni dogo la ajabu zaidi
  Hufurahi hata kama amesimama lakini akawa amebanwa na wanawake pande
  zote. Yaani hata kama amebanwa husikii malalamiko yake kuwa anaumia au
  vipi tofauti na ambavyo ingekuwa kwa mwanaume mwenzake.

  1.Naomba wanaume wa JF mnithibitishie hili!
  2.Vipi kwa wanawake na nyinyi inakuwaje upande wenu?
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  hata wanawake hupenda kukaa siti moja na mwanaume, mara nyingi sana nimeshuhudia wanawake wakizipita siti walipokaa wanawake wenzao kisha wanakuja kukaa nilipokaa! Labda, ile law ya opposite side attract, same side repel ina apply...?
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kama umekosa shughuli ya kufanya ndo utakuwa na mawazo hayo
   
 4. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Kunakaukweli hata mimi nimefanya ivo leo,nilitangulia kwenye daladala nikawa peke yangu kwenye siti,akajamdada akakaa na mimi,aliacha sit zingine
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,558
  Trophy Points: 280
  hee watu wanawaza magari yao ati
  daladala tunadandia tukiwa hatuna hela za kununua mafuta
  but kwenye daladala hakuna kitu chochote kizuri.
   
 6. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 1,251
  Likes Received: 640
  Trophy Points: 280
  Mambo kama haya hutokea zaidi kwa wanafunzi wa vyuo na teenagers, sidhani mtu mwenye ofisi yako utapoteza mda wa kufikiria mambo kama hayo uwapo ndani ya daladala badala ya kufikiria business itakuwaje au ilikuwaje siku hiyo..
   
 7. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mmmh! sikukaa na ww kwa kupenda bali gari la mbagala nililokua nyuma yetu lilikua limejaa nikaamua kuwahi hili la mbele!!
   
 8. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,555
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Lakini si uliacha siti zingine za mbele, ukaenda nyuma alikokaa Chuck j?
   
Loading...