Na wanaume tuombe hili ...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na wanaume tuombe hili ......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Konakali, Jan 17, 2011.

 1. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ninaomba facilities za DNA test zifikishwe kwenye vituo vya angaza na mahospitalini, na sharti la kupitia mahakamani liondolewe...! Hata basi kwa vipimo vya siku zijazo tu.....
   
 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ushadhulumiwa mbegu nini mkuu?
   
 3. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kwa sasa bado mkuu, lakini kinga ni bora kuliko tiba.... Ni tahadhari tu....
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  teh teh wajanja mmnejanjaluiwa?
  DNA ya nini bwana?asi mnajiamini sana nyinyi...ao mnaowaonaga wanyonge wanaweza kuwatenda ubaya mkubwwa kias icho mpk ukimbilie kwa DNA...
  Ahhhh njaaaa inauma..minaenda:car:
   
 5. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  my wife DNA muhimu na lazima
   
 6. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kwani si tunadai tu kama katiba mpya? Hii hoja lazima niipeleke kwenye katiba ijayo.....
   
Loading...