Na uchungu jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na uchungu jamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MYTURN 2015..., Dec 5, 2011.

 1. M

  MYTURN 2015... Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nauchungu jamani kuona siasa za tz humiliated na dola; nauchungu kuona mkuu wa nchi anashindwa kuicomand system mpaka inafikia hatua mafisadi wanaombwa kujitokeza wenyewe badala ya mkuu kuwatoa bcoz anawajua; nauchungu kuona crimes kubwa za wanasiasa mkuu wetu anaichia mahakama kutoa uamuz wakat tunanajua kuwa hata siku moja mahakama haiwez kuwakuta na hatia hawa maberi weusi kwa sababu ya nguvu zao za pesa na hivyo basi kuacha wez wa kuku na tv mitaani kuonekana na hatia kila siku; nauchungu kuona wez wa EPA waliambiwa warudishe pesa walizoiba na kuachwa untouchable wakat wez wetu wa kuku hawaambiwi warudishe kuku waliowaiba, hw long not long will justice be crussfied nd truth bare it
   
Loading...