Na Tunisia ilianza hivi hivi

Na Tunisia ilianza hivi hivi

Hakuna atakaye jiuzulu,huo ni mpango wa ccm na serikali yake kuua upinzani,na wapinzani nchini.ndo maana sshivi polepole anaharisha kwa mdomo, kwamba basi alilo uwawa Akwilina lilikodiwa na Chadema,akijua yupo juu ya sheria,ccm ikiwa nyumayake na magu mbele yake. Hawa nikuwatokea tu kitaifa na kimataifa.
 
Tanzania hatuwezi kuiga kila kitu, tufanye mapinduzi yetu ili yawe mfano.sio tu kuiondoa ccm madarakani, waangamizwe kabisa.
 
kiwake tu tuheshimiane....

Nakubali, bila ya kuwaka Tanzania heshima haitokuja.
Kiwake halafu ije tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, vinginevyo tutakuwa wase......ge mpaka Yesu anarudi.
Ingawa naona ngumu kwa wananchi waliopo Tz kukiwasha, wengi nyumbu.
 
Hivi Haya mambo ya kupigana risasi kisa tu madaraka unayaona ya kawaida? Tunisia ilichafuka na nchi haikutawalika tena, Na Rais ataondolewa madarakani kwasababu ya mwanafunzi mmoja muuza nyanya kusumbuliwa Na askari wa mji. Maelfu walipoteza maisha yao. Nchi ikichafuka bata tutalia wapi? Nani ataenda club kukiwa kunarindima mambomu? Nani ataenda kwenye ulabu risasi zikiwa zinapishana hewani? Nyumba za wageni zina Raha gani Na nje ni vufaru na mizinga ndivyo ninavyotamani? Tunahitaji kutubu kwa ajili ya ardhi ya Tanzania, wengi hawajui Hali hii ni ishara mbaya. Tukizizoea risasi hatutaziogopa tena. Tukizoea maiti tutazipenda Na hatutaona faida ya kuishi. Huo utakuwa ndio mwanzo wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe. Pole najua hupendi kusoma maelezo marefu. Uwe na siku njema
Fredrick Sumaye anaweza kuwa na majibu mazuri zaidi maana alishiriki mauaji ya Waislamu wa Msikiti pale Mwembechai kwamba ni wana-CUF mwaka 1999 akiwa yeye ndo Waziri Mkuu, kwa hiyo anao uzoefu wa matukio kama hayo.
 
Hivi Haya mambo ya kupigana risasi kisa tu madaraka unayaona ya kawaida? Tunisia ilichafuka na nchi haikutawalika tena, Na Rais ataondolewa madarakani kwasababu ya mwanafunzi mmoja muuza nyanya kusumbuliwa Na askari wa mji. Maelfu walipoteza maisha yao. Nchi ikichafuka bata tutalia wapi? Nani ataenda club kukiwa kunarindima mambomu? Nani ataenda kwenye ulabu risasi zikiwa zinapishana hewani? Nyumba za wageni zina Raha gani Na nje ni vufaru na mizinga ndivyo ninavyotamani? Tunahitaji kutubu kwa ajili ya ardhi ya Tanzania, wengi hawajui Hali hii ni ishara mbaya. Tukizizoea risasi hatutaziogopa tena. Tukizoea maiti tutazipenda Na hatutaona faida ya kuishi. Huo utakuwa ndio mwanzo wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe. Pole najua hupendi kusoma maelezo marefu. Uwe na siku njema
Tujiulize vyama vingi vimeanza zamani yote haya yanatoka wapi? Naamini sio serikali...chadema kama mnataka kushika madaraka ya nchi hii mkajipange mkafanye hicho chama kuwa cha watu wote sio cha watu wa kanda ileeee tu na muondoe walevi na wabinafsi lazivyo hakuna upinzani....
 
Hamjaona vita nyie.... tena ya wenyewe kwa wenyewe moto wake sijui nani atakaye uzima...jipangeni kwanza....wenzenu wanaishi karibu na mipaka ya kenya watakimbilia huko je nyie mliye mbali na mipaka mtafanya nini??? Think before
 
Nani kasema itakuwa Mara ya Kwanza kwa Tanzania kutengenezs wakimbizi? Waliokimbia Pemba walienda wapi?
CCM Na Polisi msitake kutuletea machafuko
 
Yote hayo yanamwisho jaman au mmesahau Roman empire ilivo sumbua dunia miaka ile ..akina Hitler ,Mussolini, Alexander the great na kina Mugabe wako wapi .....Ni swala la mda tu hakuna marefu yasiyo kua na kina .......Cha msingi tuombe amani
Dikteta magabe yupo anachungulia kaburi siku zake zimefika saa kumi jioni, baada ya kumtanguliza sivangirai kwa sumu ya kansa ili amuwahie nafasi kwa Muumba.Hakuna mbabe wa uhai ni suala La mda tu.Amini alisema aliyotenda yote ya duniani ni sawa na kuukimbiza upepo.
 
Tujiulize vyama vingi vimeanza zamani yote haya yanatoka wapi? Naamini sio serikali...chadema kama mnataka kushika madaraka ya nchi hii mkajipange mkafanye hicho chama kuwa cha watu wote sio cha watu wa kanda ileeee tu na muondoe walevi na wabinafsi lazivyo hakuna upinzani....
Kama ilivo chama chakavu kimekuwa cha kanda pendwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom