Na Tunisia ilianza hivi hivi

Na Tunisia ilianza hivi hivi

Dikteta magabe yupo anachungulia kaburi siku zake zimefika saa kumi jioni, baada ya kumtanguliza sivangirai kwa sumu ya kansa ili amuwahie nafasi kwa Muumba.Hakuna mbabe wa uhai ni suala La mda tu.Amini alisema aliyotenda yote ya duniani ni sawa na kuukimbiza upepo.
Unajuaje kama wewe ndio utakufa kabla yake .....usiingilie mamlaka ya kifo yana mwenyewe anaye control section hiyo...
 
Unajuaje kama wewe ndio utakufa kabla yake .....usiingilie mamlaka ya kifo yana mwenyewe anaye control section hiyo...
Kila MTU atakufa hata hao wauaji nao wataondoka tu Hakuna mwenye hati miliki na dunia,hata km unavaa hirizi mia.
 
Msiombe vita wakuu,nilikuwa rwanda 1996,niliyoyaona huko,sitaman vita,tuliokolewa kwa kutoka na mtutu na wafaransa,nilikuwa nasoma huko..acheni wakuu
 
Hivi Haya mambo ya kupigana risasi kisa tu madaraka unayaona ya kawaida? Tunisia ilichafuka na nchi haikutawalika tena, Na Rais ataondolewa madarakani kwasababu ya mwanafunzi mmoja muuza nyanya kusumbuliwa Na askari wa mji. Maelfu walipoteza maisha yao. Nchi ikichafuka bata tutalia wapi? Nani ataenda club kukiwa kunarindima mambomu? Nani ataenda kwenye ulabu risasi zikiwa zinapishana hewani? Nyumba za wageni zina Raha gani Na nje ni vufaru na mizinga ndivyo ninavyotamani? Tunahitaji kutubu kwa ajili ya ardhi ya Tanzania, wengi hawajui Hali hii ni ishara mbaya. Tukizizoea risasi hatutaziogopa tena. Tukizoea maiti tutazipenda Na hatutaona faida ya kuishi. Huo utakuwa ndio mwanzo wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe. Pole najua hupendi kusoma maelezo marefu. Uwe na siku njema

Hivi karne hii ni ya viongozi wa kisiasa kutafuta madaraka kwa kuwatumia raia wasio na hatia wakati familia zao ziko salama majumbani mwao? Najiuliza tu kwa sauti!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom