Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,433
- Thread starter
- #21
Siku moja tutaimba wimbo wa ukombozi.Akili za ufipa.
Hivi unafananishaje dikteta ma mtu aliyekaa madarakani miaka 2, matukio ya kupigwa risasi yapo kila nchi.
UPUMBAVU Na ulevi wa mvinyo wa maslahi Na mapenzi yako kwa chama yanakufanya uwe na roho ya nguruwe kuona ni haki Na ni sawa watu kufa kwa ajili ya chama cha Mashetani CCM.
Kausikilize wimbo wa Bob Marley Redemption Song verse ya pili. Mtatuteka, Mtatutesa, Mtatuua lakini kuna siku tutasema enough is enough