Na Tunisia ilianza hivi hivi

Na Tunisia ilianza hivi hivi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,432
Hivi Haya mambo ya kupigana risasi kisa tu madaraka unayaona ya kawaida? Tunisia ilichafuka na nchi haikutawalika tena, Na Rais ataondolewa madarakani kwasababu ya mwanafunzi mmoja muuza nyanya kusumbuliwa Na askari wa mji. Maelfu walipoteza maisha yao. Nchi ikichafuka bata tutalia wapi? Nani ataenda club kukiwa kunarindima mambomu? Nani ataenda kwenye ulabu risasi zikiwa zinapishana hewani? Nyumba za wageni zina Raha gani Na nje ni vufaru na mizinga ndivyo ninavyotamani? Tunahitaji kutubu kwa ajili ya ardhi ya Tanzania, wengi hawajui Hali hii ni ishara mbaya. Tukizizoea risasi hatutaziogopa tena. Tukizoea maiti tutazipenda Na hatutaona faida ya kuishi. Huo utakuwa ndio mwanzo wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe. Pole najua hupendi kusoma maelezo marefu. Uwe na siku njema
 
Mkuu bujibuji uliyoyasema kila mtu anayaona na ni bahati mbaya sana hawa mazombi wenye uchu wa madaraka na ulimbukeni wa mjengo mweupe wanafikiri wao ni miungu watu. Wanadhani wanamamlaka ya kutufanya chochote kwa kutumia mamlaka waliyonayo.

Hili ni swala la muda na amini nakuambia chini ya jua hili ipo siku watasaga meno, Mungu aliye hai hatoacha manunguniko ya watanzania bure.

Hakuna aliyejuu ya sheria ila wenyewe wanadhani wao ni untouchable which is very wrong .....it's a matter of time.
 
Naomba mungu tusifike huko japo mioyo ya watu ishachoka
mimi naomba tufike tu, naona wameshazoea kutukebehi huku wakifanya juu chini wakae wao madarakani na upande wa pili wanatuua na ndugu zetu wanapotea bila sababu na hatujui wako wapi na wanafanya nini!! tulipofika hapavumiliki tena..leo atapotea yule kesho huyu keshokutwa mimi...sasa hili si lakuvumilika hata kidogo kila mtu ana haki ya kuishi si kupotea ama kupigwa risasi halafu zinaingizwa siasa na vitisho ili tusiseme ama kulalamika....

enough is enough...
 
A week is a long time in politics. Hali inaweza kabisa kubadilika ghafla hadi dunia nzima kushangaa- kweli hawa ndio wale wale watanzania wapenda amani?
 
Huko ni mbali mno kwani sio utamaduni wetu watanzania. Tumezoezwa kutatua matatizo yetu mezani na sio kwenye uwanja wa vita! Wengine bado tuna vichanga ambavyo vinatutegemea pamoja na wazee wetu! Kama kuna kiongozi mwenye roho ya vita au vurugu ni busara akatupisha na akaenda zake huko Zaire na hata Syria au Yemen akitaka! Sipo tayari kushuhudia manusura wa pyupyu! Mungu epushia mbali!
 
Hivi Haya mambo ya kupigana risasi kisa tu madaraka unayaona ya kawaida? Tunisia ilichafuka na nchi haikutawalika tena, Na Rais ataondolewa madarakani kwasababu ya mwanafunzi mmoja muuza nyanya kusumbuliwa Na askari wa mji. Maelfu walipoteza maisha yao. Nchi ikichafuka bata tutalia wapi? Nani ataenda club kukiwa kunarindima mambomu? Nani ataenda kwenye ulabu risasi zikiwa zinapishana hewani? Nyumba za wageni zina Raha gani Na nje ni vufaru na mizinga ndivyo ninavyotamani? Tunahitaji kutubu kwa ajili ya ardhi ya Tanzania, wengi hawajui Hali hii ni ishara mbaya. Tukizizoea risasi hatutaziogopa tena. Tukizoea maiti tutazipenda Na hatutaona faida ya kuishi. Huo utakuwa ndio mwanzo wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe. Pole najua hupendi kusoma maelezo marefu. Uwe na siku njema
Akili za ufipa.
Hivi unafananishaje dikteta ma mtu aliyekaa madarakani miaka 2, matukio ya kupigwa risasi yapo kila nchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom