Na sisi tunawapenda hawa

umeona eeeeeeeeeeeeee habari ndio hiyo

Lakini ndo nampenda na mahela yake huenda akawa wa maisha huyu
Yaani hajui kuishiwa
Ndo nawapenda hawa beijing imefanya kazi kweli
Haki sawa
 
umeamkia upande gan leo?[/B][/U][/COLOR]
umeongea point ya sikukuu yan dah
nakuonaga una machungu na kina marioooooooooooo
..hahaaaaaaaa haaaaaaaaaaa wengne wajiiiiiiiiiiiinga et anafanya kaz afu ela anaenda kummwagia marioooooooooo kitandan afanye mipango basi marioooooooo full kupeleka kwao machame juu weew uyole kwenu kumedoda mweeeeeeeee!!!!!!!!!

Mwe mpenzi nimeamkia gesti mhh hata sikumbuki ni gesti gani nilikutana na marioooo shughuli anaiweza kweli, kakukuruka mpaka nguvu zikamuisha c nilimpa kaofa akadhani ndio nitampa na password ya ATM c akashughulika mpka akamaliza nguvu zake mi asubh nkamuacha hoi pale na mauzingizi yake nkatokomea job sijui kaamkaje kwi kwi kwi hajui nshakutana na dizaini ka yeye 18 ye wa 19
 
Ila ukiwapata unakula raha na unabembelezwa weeeeeeeee

usisahau pia huwa wanachinja ghafla. anaamka asubuhi na kukwambia "Sikupendi kama zamani tena" ukimuuliza kwa hasira anakwambia wewe ni kupe tu, and I need a fresh kupe.
 
Lakini ndo nampenda na mahela yake huenda akawa wa maisha huyu
Yaani hajui kuishiwa
Ndo nawapenda hawa beijing imefanya kazi kweli
Haki sawa

Ndio maana nakwambia hapa tunatwanga maji kwenye kinu, we mwenyewe unasema umekutana nae mmoja na haishiwi huyo hela anapewa na bosi wake mzee mwenye kibamia so anaamua tu kukupa wewe ummalizie haja zake poa hajaitolea jasho hiyo
 
Mwe mpenzi nimeamkia gesti mhh hata sikumbuki ni gesti gani nilikutana na marioooo shughuli anaiweza kweli, kakukuruka mpaka nguvu zikamuisha c nilimpa kaofa akadhani ndio nitampa na password ya ATM c akashughulika mpka akamaliza nguvu zake mi asubh nkamuacha hoi pale na mauzingizi yake nkatokomea job sijui kaamkaje kwi kwi kwi hajui nshakutana na dizaini ka yeye 18 ye wa 19

Bado 17 sasa
 
usisahau pia huwa wanachinja ghafla. anaamka asubuhi na kukwambia "Sikupendi kama zamani tena" ukimuuliza kwa hasira anakwambia wewe ni kupe tu, and I need a fresh kupe.

Unatimka zako kutafuta mwengine
Wapo wamejaa na maisha yanasonga mbele
 
kwani tatizo liko wapi mbona 99% ya wanawake wana choose wenye pesa? mwanaume akipata mwenzako mwenye mshiko maneno kibao? ifike wakati tuangalie usawa maana si sote binadamu
 
Back
Top Bottom