na mpigwe tu....

na mpigwe tu....

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
mie ndie upinde uliopinda kama coil dawa ya mbu ukininyoosha tu ili niwe kam
a unavyotaka navunjika.
Nimepata tetesi kuwa mtoto wa Baba V alikamatwa na unga wa sembe ,mhogo na unga wa mtama kule kwa akina huuu! Haaaa!! Inasemekana jamaa wa gwanzuu walihisi ni unga wa baruti
pamoja na kujitetea kote na kudai kuwa kwao bongo huo ndio msosi mkuu jamaa hawakumwelewa kabisa wasi wasi wangu kwa baba v chit chat anaweza kuiuza kwa ili kumkomboa mwanae v. Ngoja nimtafute mzee wa udaku Bishanga anidakulie hii tetesi
 
Last edited by a moderator:

Nimewabip interpol wakanipigia nimewaambia huku Katavi kuna tembo nje nje, wamwachie mwanangu kwanza jina lake lipo kwa mkulu tayari kuwa ni mhusika hivyo waje tu huku bado kuna tembo kibaaao wana meno yao.. Tanzania yetu hii, naskia tujiandae bandari ya Mtwara nayo watachukua akina Zuma ili Masogange aachiwe kama tulivyowapa akina Jack chan gesi ya akina kiwatengu....
 
mkubwa ile bandari ishachukuliwa muda tuu
 
Akiiuza chitchat mie anikatie changu hapa huyu Baba V..
 
Last edited by a moderator:
sijui Baba V umebakiza wapi maana hata bulyan'hulu na buzwagi ushauza wewe wakati flani naamini njama za akina manoah
Nimewabip interpol wakanipigia nimewaambia huku Katavi kuna tembo nje nje, wamwachie mwanangu kwanza jina lake lipo kwa mkulu tayari kuwa ni mhusika hivyo waje tu huku bado kuna tembo kibaaao wana meno yao.. Tanzania yetu hii, naskia tujiandae bandari ya Mtwara nayo watachukua akina Zuma ili Masogange aachiwe kama tulivyowapa akina Jack chan gesi ya akina kiwatengu....
 
Last edited by a moderator:
hivi yule fbi wewe ndio ulimruhusu kuingia katika maghala ya pembe za ndovu?
Nimewabip interpol wakanipigia nimewaambia huku Katavi kuna tembo nje nje, wamwachie mwanangu kwanza jina lake lipo kwa mkulu tayari kuwa ni mhusika hivyo waje tu huku bado kuna tembo kibaaao wana meno yao.. Tanzania yetu hii, naskia tujiandae bandari ya Mtwara nayo watachukua akina Zuma ili Masogange aachiwe kama tulivyowapa akina Jack chan gesi ya akina kiwatengu....
 
na sie ndo tumekwua mahausgeli wa kina huuu! haaaaa! et al
daaaah!
 
Huu udaku huu ni kama unafanana na ukweli flani...
Kucha na meno yenu jamani!
Hahahahahahaahaha!!!! umenifurahisha mkuu, naona unawaonea huruma watatolewa kucha na meno yao, ila yasemwayo ni kweli kabisaaaaaa, tena mm ningeombea wakina huuuu , haaaa wangempiga risasi.
 
::
Lisa we huna wako humu!!
=
 
Last edited by a moderator:
na sie ndo tumekwua mahausgeli wa kina huuu! haaaaa! et al
daaaah!
nasikia mtaa wa congo wanamiliki hahahahaha!!! booongoo hiyoooooo!! bongo daisalaaam ntalialialiaaaaaa!!! bongo daisalaaam !! bongo ya sasa sio bongo ya mwaka 47.
 
kabisaa!!!

ila we should be more aware of the khanjibhais that the huuu! haaas!
 
Back
Top Bottom