Huyo jamaako mwambie hata mke wake amchunguze vzuri inawezekana ameolewa kwengine miaka 5 iliyopita..
bora umwambie bana aache uchoyo, unajua mtu mchoyo utamjua kwenye mambo mengi, huyu aliyepewa like 235 na yeye hajatoa hata moja ukienda kwake unaweza usipate hata maji ya kunywa sembuse chaiout of topic, uwage unatoa LIKE kwa wenzio pia haaaa!!
likes received 235
lkes given NIL
Sio vizuri hivo
Mara zote nilikuwa nikiona watu wana gombania demu nahisi wamechanganyikiwa. Yaani wanawake wote hawa unagombea mwanamke. Kumbe yalikuwa hayajawahi kunikuta.
Katika maisha yangu nimedate na wasichana wengi ambao hata sina idadi kamili. Miaka 9 iliyopita niliamua kuingia kanisani na kufunga ndoa na dada mmoja. Huyu mke wangu ni mtu mwema sana. Ananijali na mimi namjali. Tatizo langu kubwa na yeye liko kwenye uwanja wa 6 kwa 6. Ni mvivu na asiyependa kujituma. Yaani ana come haraka na akisha come hataki tena. Wakati mwingine ili mimi ni come inabidi nitumie mbinu mbadala kama kufanya katikati ya chakula cha watoto au anifanyishe na mkono n.k. Tatizo langu ni kwamba huwa si come haraka. Mara zote ana come kabla yangu na akisha come tu basi hataki tena kufanya huko maeneo. Hata hivyo mimi sikuona tatizo sana kwani bado huniwezesha kushusha mzigo kwa alternative methods.
Miaka 4 iliyopita yaani baada ya miaka mitano baada ya ndoa nilikutana na dad mmoja.Alikuja ofisini kwangu kama sale/marketing officer wa kampuni moja ya vifaa vya IT. Tulifanya naye biashara kadhaa na baadae nilijikuta nampenda, offcourse na yeye alinipenda. Dada huyu anaelimu ya form four tu na vi certificate kadhaa. Lakini anakivhwa kizuri sana na yuko very intelligent.
Bahati nzuri na yeye alitokea kunipenda na tulianza uhusiano. Wakati huo alikuwa ameachana na jamaa yake ambaye aliishi naye miaka 6 na kupata naye watoto wawili na alinieleza kila kitu kuhusu huyo mume wake na sababu za kuachana. Hawakuwa wamefunga ndoa yeyote. Nikafanya utafiti wangu na kugundua yote akiyoniambia ni ukweli mtupu.
Tukaanza ma lovedavy na bahati nzuri tulikuwa tukiishi karibu. Yeye mwananyamala mimi kijitonyama. Mapenzi yetu yalikuwa matamu na kiukweli huyu dada alikuwa ananijulia vilivyo. Tulikuwa tukikutana mara kwa mara na ukizingatia mke wangu ni mchovu. Wala haikuwa rahisi kwa yeye kugundua kitu.
Tuliendelea naye kwa muda mrefu na ilifika mahala akapunguzwa kazini na nikamsaidia kuanzisha biashara ndogo ndogo ili kusukima maisha.
Kwa muda wote nimekua nae free na kila nikimuhitajia alikuwepo kwa ajili yangu na hata nikipata safari za mikoani nilikuwa nasafiri naye bila tatizo lolote.
Mwaka jana yaani baada ya kuwa naye kwa takribani miaka mitatu mke wangu akagundua uhusiano wetu. Nilikataa lakini alikuwa amekusanya evidence za kufa mtu. Na alifanya utafiti wa kina hadi akamjua dada mwenyewe. Pamoja na hayo niliendelea naye kwa uangalifu zaidi na nilmpromise wife kuwa nitaachana naye. Cha ajabu alisistizi kuwa nisiachane naye, point yake ilikuwa eti hata nikiachana naye nitatafuta mwingine. Eti bora niendelee naye tu lakini niwe makini na magonjwa. Ilifika mahala mke wangu ana mchukulia kama mke mwenza. Ingawa mara zote nilikana kuwa naendelea naye.
Kinachofanya niandike post hii ni kwamba kama miezi sita iliyopita niligundua kuwa huyu dada ameolewa miaka miwili iliyopita. Hii ina maana aliolewa wakati tukiwa naye kwenye uhusiano. Kilichofanya nigundue ni kwamba siku moja nilipiga simu usiku ikapokelewa ma mwanaume ambaye alijitambulisha kama mme wake. Nilishangaa maana miaka yote nimekuwa naye sijawahi kusikia kama ana mme. Tukagombana kwenye simu na mimi nikimwambia huyo ni mke wangu. Baada ya malumbano yasiyokuwa na muafaka alikata simu. Nikapiga haikupokelewa na hatimaye ikazimwa.
Kesho yake asubuhi huyu dada akanipigia simu akidai simu kwa namba nyingine imepotea na alikuwa akienda vodacom ku renew namba. Nilijaribu kumueleza mtu niliyeongea naye usiku akadai hamjui kwanisimi yake ilipotea toka saa 10 jioni.
. Akasema amepata malalamiko kutoka kwa watu wengine pia eti simu yake inapokelewa na mwnaume. Akasisitiza yeye hajui lolote.
Nikamwamini kwa na tukaendelea kama kawaida. Baada ya kama miezi 3 siku moja napiga simu akapokea yule jamaa tena. Akaniambia alisha nionya juu ya mimi kutembea na mke wake lakini sisikii so litakalo nikuta nisimlaumu. Nikamuuliza yele dada inakuwaje akaniambia huyo mtu ni kweli alikuwa anataka kumuoa lakini yeye alikataa kwa sababu huyo jamaa ni mwislamu na yeye hayuko tayari kubadili dini. Sasa anamfanyia visa na siku hiyo alikutana naye akamnyang'anya simu kwa nguvu.
Baada ya kama siku mbili kupita yule jamaa akanipigia simu kwa namba yake na kuniambia kuwa yeye amemuo huyo dada miaka 2 iliyopita. Nikamweleza mbona mimi nimekuwa na huyu dada kwa miaka 4 iliyopita na mara nyingi niko naye na huwa nasafiri naye? Hakuwa na jibu ila akanieleza tu wewe juwa kuwa ni mke wangu.
Kilichofuata rafiki wa huyo dada akanipigia simu akaniambia eti nimeharibu. Eti huyo jamaa ni mme wa ndoa wa yule dada na sasa sijui itakuwaje. Yule dada nilivyompigia simu akaniambia ni long story inabidi tukutane naye ili anieleze kila kitu kinachoendelea.
Baada ya kama siku 3 nilikutana naye na kuniambia kuwa ni kweli alifunga ndoa ya kiislamu na huyo mzee ambaye anafanya kazi BOT. Akaniambia kuwa huyo mume alitafutiwa na kaka yake ambaye pia yuko BOT. Akasema yeye ni mke wa tatu kwa huyo mzee na hiyo huonana naye mara chache kama mara 3 kwa mwezi. Ndo maana huwa yuko free siku zote. Akasema kuwa huyu mzee alimuahidi mambo makubwa lakini hajatimiza na hivyo yuko tayari kuachana naye. Hivyo akaniomba tuendelee na yeye ataachana naye kisheria maana haoni faida yoyote ya kuendelea kuwa naye.
Sikunjibu chochote nikaondoka. Ila kiukweli kabisa nampenda huyu dada. Ananijulia na siko tayari kutafuta mtu mwingine. Nimeachana naye miezi 3 sasa lakini nahisi bado nampenda. Naomba ushari nifanyeje?
Technic ambayo amekuwa akitumia kwa muda mrefu ni kuwa na simu kimeo. Yaani ukimnunulia simu mpya baada ya wiki anesema mara imetumbukia kwenye maji au ameibiwa na anatumia simu kimeo aliyoichukua kwa rafiki yake. Kwa muda niliokuwa naye nimenunua zaidi ya simu nane lakini hazidumu wiki 2. Nafikiri lengo lake ilikuwa akipigiwa simu kama haipatikani asingizie ni kimeo. Hata hivyo mara nyingi nikimuhitaji alikuwa yupo kwa ajili yangu.
Ni story ya rafiki yangu ambaye pia ni member wa jf. Ushauri wenu utamsaidia.
bora umwambie bana aache uchoyo, unajua mtu mchoyo utamjua kwenye mambo mengi, huyu aliyepewa like 235 na yeye hajatoa hata moja ukienda kwake unaweza usipate hata maji ya kunywa sembuse chai
jamani aneweza kuelezea hapo tafadhali!
mi nna hasira.... naweza pigwa ban mpaka july mwakani!
Ma dya huyo rafik ako ali shake off well before use au? Jamani ndoa ni big commitment, its beyond saying I luv u. Kabla ya kuoana inabidi kila mtu ajue weakness za mwenzake, after there kuna option 3. Its either uzikubali hzo weakness za partner wako, or ujitahidi kuzibadilisha slowly na ya mwsho ukiona imeshindikana kuzikubali au kuzibadilisha hzo weakness its betta if you quit the relatnship
Nachojaribu kusema, kama huyo rafiki ako alijua kabisa gf wake ni mvivu kwenye 6*6 na still akaona yeye kwake sio big deal as long as mdada ana alternative means za kumfikisha mlima kibo, inakuwaje leo ana-cheat kwny ndoa yake kwa excuse et mkewe ni mvivu, ndo mwana nkakuuliza kabla hamjaonana si walikuwa wanaunganisha vikojoleo? Hakumwona kama ni mvivu? Huyo ni pepo tu wa uzinzi anamsumbua.
Lastly, hv jaman kwny karne hii kuna mwanamke anayeweza akamruhusu mmewe et wewe endelea 2 kutembea na fulani? HEll NO. Kama walifight sana na mkewe khs huyo mpango wa kando, I believe mkewe ts either na yeye anacheat au anatafuta cha kumfanya huyo mwizi wa mumewe, no woman is such a fool kukubali kushea mume as simple as that. So he better watch out na atulie 2 kwa mkewe
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
out of topic, uwage unatoa LIKE kwa wenzio pia haaaa!!
likes received 235
lkes given NIL
Sio vizuri hivo
Hahahaha. Asante kwa kumpa za uso.
Eti mke anagundua afu anakusisitiza usimuache. Unaweza kudhani mkeo ni mjinga kumbe mjinga ni wewe
Ma dya huyo rafik ako ali shake off well before use au? Jamani ndoa ni big commitment, its beyond saying I luv u. Kabla ya kuoana inabidi kila mtu ajue weakness za mwenzake, after there kuna option 3. Its either uzikubali hzo weakness za partner wako, or ujitahidi kuzibadilisha slowly na ya mwsho ukiona imeshindikana kuzikubali au kuzibadilisha hzo weakness its betta if you quit the relatnship
Nachojaribu kusema, kama huyo rafiki ako alijua kabisa gf wake ni mvivu kwenye 6*6 na still akaona yeye kwake sio big deal as long as mdada ana alternative means za kumfikisha mlima kibo, inakuwaje leo ana-cheat kwny ndoa yake kwa excuse et mkewe ni mvivu, ndo mwana nkakuuliza kabla hamjaonana si walikuwa wanaunganisha vikojoleo? Hakumwona kama ni mvivu? Huyo ni pepo tu wa uzinzi anamsumbua.
Lastly, hv jaman kwny karne hii kuna mwanamke anayeweza akamruhusu mmewe et wewe endelea 2 kutembea na fulani? HEll NO. Kama walifight sana na mkewe khs huyo mpango wa kando, I believe mkewe ts either na yeye anacheat au anatafuta cha kumfanya huyo mwizi wa mumewe, no woman is such a fool kukubali kushea mume as simple as that. So he better watch out na atulie 2 kwa mkewe
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums