Kuna cha ushauri hapo kweli hakika mimi cha kukushuri ni kuachana na huy dada kurudi kwa mkeo tu,Najiuliza tu hivi hizi ndoa mnapofunga huwa mnamaanisha au huwa mnataka kuwafaidisha watu pilau na kujionyesha kuwa mmefunga ndoa ya kifahari,kweli unaweza ukamuoa mwanamke ambaye unamthamini ukachua udhaifu wake kumsaliti eti hajui chochote kwani ulitafutiwa huyo? Hivi kuna mwanamke ambaye kweli anampenda mumewake na kumthamini na pia kuheshimu ndoa yake akaridhia kwa mdomo wake na kusema eti kuweni makini(maana yake tumieni kinga) halafu bado iitwe ndoa? Ushuri tu mnapooa oeni kwa kumaanisha siyo kuwafurahisha watu kwa hiyo stori kuna raha gani ya ndoa unaacha kumpigania mkeo ndani eti unamng'anga'ania kimada duh![/QUOTEDah ni kweli usemacho yaani mm watu wa hivi wananikera sana eti hapo unaomba ushauri....ningekuwa mm ndio mkeo ww ningekufanya kitu mbaya hadi ungejuta