Na mimi yamenikuta, nahisi sina ujanja

Na mimi yamenikuta, nahisi sina ujanja

jamani aneweza kuelezea hapo tafadhali!

mi nna hasira.... naweza pigwa ban mpaka july mwakani!

Wewe ni she au he. Uchovu wa mke kitandani inawezekana umechangia kwa kiasi kikubwa jamaa kutoka nje. Mimi iMind nimeleta tu story. Mhusika ni jamaa yangu wa karibu. Tulisoma naye A-level na chuo. Amekamatika kwa huyu dada.
 
Kwa mujibu wa story sholi wa mwananyama ni mjuzi wa mambo na amemkamata jamaa vilivyo. Jamaa anaonekana amekamatika. Maana anajaribu kumuacha lakini anashindwa. Ushauri wenu ndo unaoweza kumpa nguvu ya kuachana naye au kuendelea naye.


Hapo kwa red pamenishangaza!!
Ila mkeo si alikubali kupata msaidizi? Hebu mshirikishe kuhusu uwepo wa babu wa BOT umsikie ana ushauri gani tena.
 
Ni ajabu kuwa pamoja na kwamba mume wa huyu dada anajua uhudiano wa dada na jamaa. Hajampiga hata kofi huyu dada. Na kinacho mpa jamaa wasiwasi ni keamba Je huyu jamaa anaweza kumfanyia kitu mbaya? Na ukiongea naye ni kama anatafuta defensive mechanism. Aendelee na dada isiathirike au kuathiriwa na Mume. On the other hand mume anaonekana kukosa control kwa huyu mke wake.

iMind
A few scenarios that I can think of in regards to what you brought up
  1. It is possible that the silence or the "no action" is just a strategy on the husband's part. ie He is just letting their guilty conscience and/or the thought of what is to come (if anything), eat them alive
  2. Maybe he too has another kimada so why waste his time/energy fighting for her? Besides ,si ana wake wawili already apart from the woman so..............

Anyhow since mwanamke amesha ofa kuchukua divorce and your friend still feels that deeply for her then why not have her persue that avenue ili waendelee happily ever after!! ?
 
Mke ukubali tu, kiurahisi tu? Just like that? For sure she's getting some sugar elsewhere. Oh I would!
 
Mke ukubali tu, kiurahisi tu? Just like that? For sure she's getting some sugar elsewhere. Oh I would!
It was not that easy. Hapa nimefupisha tu llakini ali give up baada ya kufight na kugundua kuwa mume wake hawezi kuachana na huyu dada. For like a year.
 
It was not that easy. Hapa nimefupisha tu llakini ali give up baada ya kufight na kugundua kuwa mume wake hawezi kuachana na huyu dada. For like a year.

By God I would be damned if I took it lying down.
 
Wewe ni she au he. Uchovu wa mke kitandani inawezekana umechangia kwa kiasi kikubwa jamaa kutoka nje.

achana kwanza na jinsi yangu bana! iache kabisa itulie!

sasa point ambayo tulitakiwa tuizungumze ni hiyo! (red)!

hivi mpaka mtu kuchoka, si lazima awe anafanya kazi? tena kazi nzito? si ndiyo?

basi ujue kama wadau wengine walivyo tweet hapo nyuma, wife wa jamaa ako ne yawezekana nae kaolewa kwa mara ya pili kanisa la jirani! yawezekana jamaa alipata mualiko, sema tu hakupata nafasi ya kuhudhuria.

goodmorning this night!
 
Tumshauri kuzini?
Tushiriki dhambi yake?
Akhuuuuuuuuu

Ila muulize huyo memba wa "jeiefu"

Alitegemea huyo dada awe single kwa lipi haswa???? Akishamkaza yeye anarudi kwa mkewe, ila anataka dada wa watu akumbatie mitoooo?????
 
Tumshauri kuzini?
Tushiriki dhambi yake?
Akhuuuuuuuuu

Ila muulize huyo memba wa "jeiefu"

Alitegemea huyo dada awe single kwa lipi haswa???? Akishamkaza yeye anarudi kwa mkewe, ila anataka dada wa watu akumbatie mitoooo?????

Ujumbe huu uwafikie wote wenye small house. Infact hawa wadada wa mjini huwaaminisha ma buzi kuwa wako wenyewe but in reality nao wana kuwa na big house. Ni hatari sana.
 
Nionacho hapa ni pepo la uzinzi linatafuna ndoa za wahusika...
 
Umewahi kusikia mtu anavamiwa kwake, then anachinjwa mbele ya familia yake, na jamaa wanaondoka hata kama kuna mfuko wa hela na simu za bei mbaya hawachukui?
 
Mmhh hizi story, down stairs pia ni muhim jaman ila ukishajicommit kufa tu kijerumani
 
Pole sana! Maelezo mareeefu kumbe unatafuta sympath yakuendelea na uzinzi wako! Huo mtandao uliounganishwa nao kupitia huyo mwenye mume BoT punde utakupa majibu! Kama kweli huyo baba wa BOT ana wanawake watatu na kila mmoja anaishi na huyo baba kwa style ya huyo kimada wako then jiulize mko wangapi! Nadhani hata huyo mkeo nae ana mtandao wake that's why amekuruhusu uendelee na huyo kimada ili wote mvichange hivyo virusi then mkikutana centre mtakuwa na mtaji kamili! Hizi ndoa za karne hii jamani! God forbid!
 
Back
Top Bottom