Na mimi nipo JF?

Na mimi nipo JF?

Baba Matatizo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2011
Posts
334
Reaction score
64
Hodi jaman wana JF!Siamin kama na mimi nipo JF KABISAAA!Naahid kuwa mwungwana!Natumaini mtaniunga mkono!JF OYEEEE!
 
Jf juuuuuuuuu!
Karibu sana baba matatizo. Agiza kinywaji akifika Katavi atalipa.
 
Karibu Baba Matatizo! Karibu ukaribie ila usije na huyo mwanao humu ataleta tafrani si haba.
 
Karibu Baba Matatizo! Karibu ukaribie ila usije na huyo mwanao humu ataleta tafrani si haba.
hakuna wasi!matatizo hana tafran ni jina la urisi toka kwa babu mzaa babake!hivyo mwenye matatizo ni babu na sio matatizo!
 
Karibu sana baba matatizo, umepata castle ngapi? Mwambie muhudumu aniletee bili!
 
Karibu sana baba matatizo, umepata castle ngapi? Mwambie muhudumu aniletee bili!

Katavi vipi mbona wamkaribisha mgeni na lager za mchana,anyway karibu sana mgeni mishkaki kwa Mfojo.
 
Karibu sana
avatar38162_20.gif
chatu dume unaogopesha wageni!
 
Back
Top Bottom