Na mimi mnipiemu sasa!

Na mimi mnipiemu sasa!

Aggrey86

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
853
Reaction score
155
Yani tangu nijiunge jf sioni hizo piemu wala nini, kwani mimi ndo sipiemuki jamani?hii sio haki sasa na mimi leo mnipiemu sasa nione hizo piemu zinavyokuwa lol...utafikiri sio mdau humu ndani.mnipiemu bwana acheni hizo
 
Anza wewe kupiem nao watakupiemu..Charity begins at home
 
Yani tangu nijiunge jf sioni hizo piemu wala nini, kwani mimi ndo sipiemuki jamani?hii sio haki sasa na mimi leo mnipiemu sasa nione hizo piemu zinavyokuwa lol...utafikiri sio mdau humu ndani.mnipiemu bwana acheni hizo

sasa ndugu yangu unataka "wakupiemu" kwa sababu/ jambo gani?
Kuhusu mapishi? au, maana naona umekuja omba "piemu" ktk jukwaa la kupika.
 
labda ana njaa, hakuna mama ntilie mkuu tafuta mke uoe lol
 
Una piemuka lakini? ohoo usije rusha mateke?
 
Back
Top Bottom