Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
huyu mama anahitaji maombi... where is Rwakatare at
unamaanisha Rwakatare wa CDM?
huyu mama anahitaji maombi... where is Rwakatare at
Ma graduants wa SUA wako mitaani hawana kazi....Kilimo Kwanza kinaendeshwa na Jeetu na hao form 4
mmesahau kuwa ni mmbunge/
Countries are talking of university education, our poor old lady is talking of secondary education? Poor us!
Unfortunately Mzee Ngunangwa alipatwa na maswahibu mabaya but he knew all weakness za Anne na alimnanga live, alimjua hata anayembeba, alisema ana picha zao za mazingira tataMimi niliposikia kashinda uspika, nilishangaa kwani huyo mama hana kiwango ni majungu pale mjengoni tusubiri tuone. Hana mwelekeo wa kutupa kile tunachotaka sana sana atatuchelewesha kupangua wachezaji kwenye timu yetu ya serikali.