Na Korona hii bado Machangudoa hamuogopi?

Pamoja na wimbi la changamoto ya upumuaji bado wafanyabiashara pendwa wapo bize Kama vile hakuna kinachoendelea? Wateja nao Kama vile hakuna mbadala ndugu zangu. Utabanwa mbavu ufe mapema
Babu kwani kupumua tunatumia hivyo viungo?
 
Uchumi wa Pattaya kwa kiasi kikubwa unatokana na prostitution. Naambatanisha picha ya fukwe ya Pattaya na maisha ya usiku katika eneo hilo.

Ikumbukwe pataya umalaya ni sawa na kanuni ya Pie katika kutafuta eneo la duara yaaani 3.14, au 22/7.
karibu Pattaya.
 
Attachments

  • images (31).jpeg
    images (31).jpeg
    24.2 KB · Views: 7
  • images (27).jpeg
    images (27).jpeg
    47 KB · Views: 7
  • images (28).jpeg
    images (28).jpeg
    31.3 KB · Views: 7
  • images (29).jpeg
    images (29).jpeg
    9.1 KB · Views: 7
  • images (30).jpeg
    images (30).jpeg
    22.5 KB · Views: 7
Hizo ni huduma muhimu ambazo hutolewa hata wakati wa vita machangudoa wanastahili Pongezi na michango yao ya kuondoa stress kwenye jamii inatakiwa itambuliwe rasmi
 
Uchumi wa Pattaya kwa kiasi kikubwa unatokana na prostitution. Naambatanisha picha ya fukwe ya Pattaya na maisha ya usiku katika eneo hilo.

Ikumbukwe pataya umalaya ni sawa na kanuni ya Pie katika kutafuta eneo la duara yaaani 3.14, au 22/7.
karibu Pattaya.
nchi gani hii?
 
mbona hawana chura ?
 
Pamoja na wimbi la changamoto ya upumuaji bado wafanyabiashara pendwa wapo bize Kama vile hakuna kinachoendelea? Wateja nao Kama vile hakuna mbadala ndugu zangu. Utabanwa mbavu ufe mapema

Watakuwa washirika wa karibu wa yule kiongozi wetu mpendwa, wanachama wa chama mboga mboga au angalau wafuasi wa yule mbunge wetu machachari aliyempokea kijiti sauti ya zege.

Wanachapa kazi kweri kweri na miradi lazima iendelee kwa maana kwao ugonjwa huu haupo.

Ndiyo maana hata chanjo hawahitaji.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Hile biashara ni kongwe duniani haitakaa isimame kwa chochote

Upo sahihi kabisa mkuu...

Gharika ya Nuhu, Mapigo 7 ya Mungu kule Misri, moto wa sodoma na gomora, smallpox pandemic, bubonic plague, black death, swine flu, spanish flu, ebola, Zika, Dengue, HIV, hepatitis, cholera epidemic... kama hayo yote hayakuweza kuisimamisha hii biashara, corona ni mdudu gani? Hapo labda ashuke Mesaya mwenyewe ndio hii biashara itasimama! 🤣
 
Upo sahihi kabisa mkuu...

Gharika ya Nuhu, Mapigo 7 ya Mungu kule Misri, moto wa sodoma na gomora, smallpox pandemic, bubonic plague, black death, swine flu, spanish flu, ebola, Zika, Dengue, HIV, hepatitis, cholera epidemic... kama hayo yote hayakuweza kuisimamisha hii biashara, corona ni mdudu gani? Hapo labda ashuke Mesaya mwenyewe ndio hii biashara itasimama!
Labda maana hata mitume yote imekuja imeikuta pamoja na kutoa mafundisho mpka imeondoka hii biashara imeacha
 
Back
Top Bottom