Na kamvua haka jioni....

Na kamvua haka jioni....

Huyo jamani. Yule mkaka daaah. Na moyo wangu umedunda. Wacha nimsalimie kwanza ex boo wangu. Ye ndo alianzaga kunipa jani nivute kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Nimeshafika eneo la kulipiza.
1521137333137.jpg
 
Basi, nshakujua, nshakuona sana. I was living there too for 3 yrs
Hehehehehee. Umenitishia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Maana hatukua serious kiviiile. Na nilikua siji kule nbc kwa wanaume alikua anakuja huku kwa wanawake.
 
Nilikua naenda sana kule kwa wanawake. Pia nilikua napenda kukaa kule juu summit
 
Back
Top Bottom