MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,086
hhahahahhaaaa aisee !mie hizo mambo neva!Aku..pambana na cheupe wako, morani wangu mwenyewe natafuta wa kumgaia. Hlf ww ipo cku nitakupeleka jamaica
hhahahahhaaaa aisee !mie hizo mambo neva!Aku..pambana na cheupe wako, morani wangu mwenyewe natafuta wa kumgaia. Hlf ww ipo cku nitakupeleka jamaica
Good Girlhhahahahhaaaa aisee !mie hizo mambo neva!
Ntakulink na jmaa yangu[emoji1303][emoji1303] aisee nazitafuta
Pouwa mkuuNtakulink na jmaa yangu
Mbona umesahau gahawa. ..[emoji39]Kamvua haka upate kashata...weeeeee
Yap na kahawa inapendezaMbona umesahau gahawa. ..[emoji39]
Wewe hujui mkuu, chuma kimekaza lakini tafuta mbinu ya kukilegeza japo kidogo.kuna watu awajui chochote kuusu kukaza kwa vyuma
Chamoto mkuu?kamvua aka upate kitumbua inapendeza
Wacha niagize mahindi ya kuchoma na ndimu zakeNgoja niendelee na kahawa yng
KingstonAku..pambana na cheupe wako, morani wangu mwenyewe natafuta wa kumgaia. Hlf ww ipo cku nitakupeleka jamaica
Cha mooto vile!kamvua aka upate kitumbua inapendeza
YapKingston
Pa1 mkuuSafi sana,enjoy, cheers...
Ndo yenyewe chiefNgoja niendelee na kahawa yng
HehehehheeTeh sio kashata za kawaida, zile zenye stimu flan hivi