Na hili je?. . . . .!!!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Hebu tuchukulie kwamba umeoa au umeolewa au pia uko kwenye mahusiano,halafu unamkuta mpenzi/mke/mumeo anajiridhisha kimapenzi mwenyewe,kwa wanaume wanasema kujichua kwa wanawake sikumbuki hii sijui inatamkwaje..Sasa ndo umemfuma anafanya haivyo,Je utachukia?Kama ni ndio kwanini?Atakua amekusaliti?Kama ni ndio,amekusaliti na nani?Kama hautachukia kwanini?
 
sitachukia....bali nitajiuliza wapi nimechemka......
kwa upole nitamuuliza shida ni nini......halafu tutajadili tatizo......
 
This can be one of the two

-Mmmh atleast nitakuwa happy hakutoka nje and more than that maybe kanimiss nitamaliza kwa kumpa dozi lol.
-Kama performance yake kwenye 6x6 ndi weak halafu mkono wake wa kushoto ni mkubwa zaidi nitajua nini source ya ugonjwa huo, namtema saaa hiyo hiyo.
 
Moja kwa moja ni dalili ya haridhiki kabisaa.:disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
 
mimi sitachukia ila inabidi nimuulize taratibu nini tatizo na kwanini ameamua kufanya hivyo
alafu taratibu tutasaidiana kutatua tatizo ni hivyo tuu
 
Hamna kuna wengne wameshazoea kufanya hvyo tangia zaman 2 ,kwahyo inakuwa vgumu sana kuacha tabia hii.
 
Hebu tuchukulie kwamba umeoa au umeolewa au pia uko kwenye mahusiano,halafu unamkuta mpenzi/mke/mumeo anajiridhisha kimapenzi mwenyewe,kwa wanaume wanasema kujichua kwa wanawake sikumbuki hii sijui inatamkwaje..Sasa ndo umemfuma anafanya haivyo,Je utachukia?Kama ni ndio kwanini?Atakua amekusaliti?Kama ni ndio,amekusaliti na nani?Kama hautachukia kwanini?

Mi nisingerudi aisee!
 
Kama mko pamoja(yaan hukuwa safari n.k) ni dalili kuwa haridhiki mnavyofanya, so either anamkumbuka wa zaman au anaona bora ajiridhishe mwenye! Inasemekana asilimia kubwa ya wanaofanya huo mchezo ni kwa sababu ya kutoridhika kimapenzi au kama hajaoa/olewa, ni kushindwa kutongoza/tongozwa, yaani- In-adequate normal sexual act! So, kama umemfuma, it indicate that humuridhisha! The only solution ni kutafuta namna ya kumlizisha!ie. Ubunifu!!
 
mimi sitachukia ila inabidi nimuulize taratibu nini tatizo na kwanini ameamua kufanya hivyo
alafu taratibu tutasaidiana kutatua tatizo ni hivyo tuu

Simple like that??Are u sure!
 
Hebu tuchukulie kwamba umeoa au umeolewa au pia uko kwenye mahusiano,halafu unamkuta mpenzi/mke/mumeo anajiridhisha kimapenzi mwenyewe,kwa wanaume wanasema kujichua kwa wanawake sikumbuki hii sijui inatamkwaje..Sasa ndo umemfuma anafanya haivyo,Je utachukia?Kama ni ndio kwanini?Atakua amekusaliti?Kama ni ndio,amekusaliti na nani?Kama hautachukia kwanini?

kwa mwanamke .. anaji "graind" ama kujisaga
 
Ntafurahi na kumpa moyo kuwa siku nyingine akizidiwa wakati sipo asimpelekee mtu kimwaga mkojo chake bali ajichue kwa raha zake.
 
sitachukia....bali nitajiuliza wapi nimechemka......
kwa upole nitamuuliza shida ni nini......halafu tutajadili tatizo......

Thats a heart of a woman! Know what is the problem, seek for the solution
 
Back
Top Bottom